DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Mkuu samahani! We ni mwalimu?
Nampiga mkwara mtaalamu, ngoja nigeuzwe ndondocha nikome🤣🤣Ila wifi akili zako unazijua mwenyewe 😂😂😂
NimewekaHebu tuone
OkyHapana mimi,ni daktari wa falsafa
Uzi ulipitishwa kilingeni kabla ya kuna hapa [emoji16]Selfika Version II
Weka madawa mapema kusiwe na vita na hekaheka kama kwenye selfika
mkuu kweli unakumbukumbu huu mguu wa kitambo sanaBadilisha viatu mkuu au hii ni pea ya kiganga.
😍😍😍😍My ni mjamzito 😍😍😍
Nimeamua kupunguza shobo saivi😁Oraa mshamba_hachekwi uzi si umeuona lakini Chalii yangu au [emoji16][emoji16]
Binti macho weka kapicha nafsi yangu isuuzike.Babe
Yaani simple hiyo hiyo tangu 2019!? Kweli?[emoji1787] hata kama ni ubahili huu sasa utakuwa ubahili pro max [emoji23][emoji23][emoji23]mkuu kweli unakumbukumbu huu mguu wa kitambo sana
Ukigeuzwa mbuzi mi simo 😂😂😂Nampiga mkwara mtaalamu, ngoja nigeuzwe ndondocha nikome🤣🤣
Ndio vipaji vyetu mkuu Mungu katujalia.mkuu kweli unakumbukumbu huu mguu wa kitambo sana
Unaona sasa pisi kama hizi ni za kuhesabu sana.