Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Tangu hiyo siku nilijifunza kuwa - ktk maisha ni furaha zaidi kutenga muda kuappreciate watu wazuri na moments nzuri maishani, kuliko kupoteza muda kukumbuka watu wabaya ama moments mbaya maishani.

Bad people/moments makes us stronger, good people/moments makes us happier
 
[emoji419][emoji375][emoji1545][emoji818]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…