Wewe selfika nikuone bhana....kabla Uzi haujafungwa, maana sijui mnawatibuaga nini modsππππHaya kumekucha.
Ukitaka niselfike mwambie ephen aanzeπππ
Sio mimπWewe selfika nikuone bhana....kabla Uzi haujafungwa, maana sijui mnawatibuaga nini mods
Ni bless before sijalala basiSio mimπ
ππMimi kuumia?
Ningeumia nisingetaka hata kuzungumzia hizo picha,
Mimi ni mzuri! kwa wanaonijua humu wakisoma wanacheka moyoni mwao ukweli wanaujua
Asante kwa kujaliβΊοΈ
Kumbe alidanload, ili awacheke wanaomchekaπ€£Alituma picha ya kudanlodi.
Tena ya bi kizee
Wakati yeye ni mtoto mdogo mrembo haswa.
Weeeeeh hizo hips tu
ππNdio picha ya mshangaziKumbe alidanload, ili awacheke wanaomchekaπ€£
Ni bless before sijalala basi
Tena wewe ndio unatuchekaga kwa dharauuuuu π€£π€£π€£Nakaziaaaaaaaaaaaaaaa!
Siku zote ukweli ndio huuma kama kitu ni blah blah tu aaaaahhhhhhhh
Unajichekeaaa tu tena kwa dhaaaaaarrraaaaaaauuuuuuuuuuuuuuu!π€π€π€π€
yaani anadanlodi mshangazi tumcheke ili na yeye atucheke tulivyo wajinga kuamini ni yeyeπ€£π€£.ππNdio picha ya mshangazi
Ndio naked ya usoπππππNaked ya uso? π π
Ebhanaeeeee π₯π₯π₯π₯
Sa bora awe mshangazi mzuri.yaani anadanlodi mshangazi tumcheke ili na yeye atucheke tulivyo wajinga kuamini ni yeyeπ€£π€£.
Roho imeniuma