Ata❌Tupia ata kule kwingine
👋🏽Ata❌
Hata✅
Duh kweli we ni ChickMagnet 😁 luking gud
Watu wamepita humu na mapicha ya kutosha ulikuwa wapi mkuu 😄Winnone Darlin Ms eyes Saint Anne Tayana-wog Dr Lizzy madam Antonnia Dr. Mariposa Dejane financial services trudie am craving to see you again. Kujeni mtupie vitu uku
🤣🤣@Lucas mwashambaNmetupia sana kipindi uko bize na Lucas
Kumbe hii ndo mida yenu eeh
Kibongeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Trauzaa Imebana sana, had hapo kwenye vipira na pump panaoneshaa ukomavu.
Nilikua bize na maokoto saiv nmejipa kalikizo kafupi. nmemiss kuona vitu vizuri, tupia moja nirefresh macho basi 😘Watu wamepita humu na mapicha ya kutosha ulikuwa wapi mkuu 😄
Anza wewe basi.Winnone Darlin Ms eyes Saint Anne Tayana-wog Dr Lizzy madam Antonnia Dr. Mariposa Dejane financial services trudie am craving to see you again. Kujeni mtupie vitu uku
Subiri nikiamka jana nilichelewa kulala.Anza wewe basi.
asante ivo ivo tunajitahidi 😁 umaridadi huficha umaskiniDuh kweli we ni ChickMagnet 😁 luking gud
Mashati ya vitenge na suruali za vitenge itakaa poa zaidi
Kwakweli 🤣asante ivo ivo tunajitahidi 😁 umaridadi huficha umaskini
Sahivi mi BadoNilikua bize na maokoto saiv nmejipa kalikizo kafupi. nmemiss kuona vitu vizuri, tupia moja nirefresh macho basi 😘
Sio kweli! Harusi na vitenge wapi na wapiMashati ya vitenge na suruali za vitenge itakaa poa zaidi
Suti ni kitu kinanishindaga mimi nimezea t-shirt na jeans 👖 tu.😁😁Sio kweli! Harusi na vitenge wapi na wapi
Mimi nitavaa gauni jeupe, wewe suti nyeusi shati na tai nyeupe
Hapo vipi?