Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Wanang'ata kwelii, [emoji23][emoji23][emoji23]
Madede sili bhanaa. Kwan wengi huku hawali madede.
Uroho wenu huo wa kula wadudu mtakuja kuvimba midomo ipo siku 😂😂😂
 
Mshana Jr asante kwa kuleta uzi mzuri kwa kipindi hiki cha mvua,ila kuna vijana wa hovyo kutoka uswekeni watauvamia na kuuharibu kama ule wa selfika, take it from me 😢
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…