Umevunjika mguu, nyonga,uti wa mgongo

Umevunjika mguu, nyonga,uti wa mgongo

kiborinangari

Member
Joined
Apr 24, 2015
Posts
90
Reaction score
23
ndugu marafiki na jamaa mbali mbali mwaka jana mwez wa 9 nilipata ajal ya gar mkoan morogoro. na nikavunjika uti wa mgongo
niliangaika sehem mbali mbali kupata matibabu. ikiwemo pale kcmc moshi. lakin hal bado ikagoma. mungu saidia nikapata contact ya
tu mmoja yupo mwanza anaunga mifupa kwa dawa za asili. kweli nilifika hapo na nikapata matibabu ndan ya miez mitatu nikaanza na kusimama. nashukuru mungu naendelea vizuri
nimeona syo mbaya tushare pamoja
 

Attachments

  • 1431606051429.jpg
    1431606051429.jpg
    73.1 KB · Views: 159
Back
Top Bottom