Umewahi fanya mapenzi na mtu ambaye hukumdhania?

Leo nmethibitosha nnachokiwazaga,,nyie mnaojifanya mamodel,sijui manini,ni ma*ay* wazuri tuu,tofauti yenu na wa pale kimboka n ndogo sana,,,,

Utafika mbinguni umechoka sana
 
Leo nmethibitosha nnachokiwazaga,,nyie mnaojifanya mamodel,sijui manini,ni ma*ay* wazuri tuu,tofauti yenu na wa pale kimboka n ndogo sana,,,,

Utafika mbinguni umechoka sana
Na unaowatumia je wana utofauti gani na mimi
Utakufa kifo kibaya wewe, nahisi una laana

Samahani kama ntakuwa nimekujibu vibaya, ila umentia hasira [emoji24][emoji24][emoji24]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] acha kudanganya watu [emoji23][emoji23]
 
[emoji38]
mjinga wewe, hao ambao unakutana nao bar ndo unawaona watakatifu saana. Sikutegemea hata wewe ungelikuwa miongoni mwa wanaonikashfu. Mwanaume ovyo [emoji849]

Tuambie umekwisha nyofoa bikra ngapi tokea uzaliwe mpaka sasa? Jitathmini level ya ujinga wako kaka

Masister wenyewe sio wote waaminifu, na unaweza kuta hata mkeo sio mwaminifu pia. Nyie ndo mnaosaidiwa huko nje
 
Dah nimesitisha kukufuata PM
 
Member unasimulia visa kama vile umebobea?? Si mbaya Advance ulisoma comb gani??
 
Humu ndani wadada wengi tu mmeliwa mbususu kama mwenzenu sema mmeshindwa kusema,Ila wadada mnaliwa sana hasa Nye....*ge zikiwashika.Muwe mnatupa tu lakini na Sisi hatupendi kutumia nguvu tukipenda kuwala.
 
😂😂alokwambia naendaga bar nani?

Hukunidhania??!!hukutegemea??!WTF...unanijua kwani??!

Hivi mbona mnazuzuka na comment za hapa
 
Aisee...
 
🤣🤣🤣
 
Sio mtu ambae hukumdhania ni umalaya tu 😂😂😂tusifiche fiche mambo hapa🤣🤣🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23] acha kudanganya watu [emoji23][emoji23]
Sidanganyi sasa umri niliyo nao nimeona mangapi dia? Ila hii ya bila kupanga siku zote naikwepaga. Mimi ni mwoga sana wenda ni ushamba. Huko sekondari tukifunga shule tulikuwa tunapelekwa kwa nes kupimwa kama tumefanya, utafanyia wapi mbele ya mama?, labda kama hutaki shule. Shule yenyewe nimesomea ya masister mwanaume ukutane nae wapi?

Aliyemuoaga mdogo wangu akiwa mwanafunzi unajua alikaa jela muda gani?

My dia sisi tumesoma enzi ukikamatwa na simu shule ndo basi tena ni tofauti na nyinyi wa juzi. Haya mambo nimejulia ukubwani si kwamba kwa sasa sifanyi nafanya ila sio kwa kushutukiza.
Nafanya kwa mpango na malengo, hadi muda huu ninapoandika hapa nina malengo yangu makubwa na mtoto mmoja wa mama mkwe akiingia 18 zangu nitatoa zaka mara mbili. Sema status yake ndo inanichelewesha kufika malengo
 
Sio mtu ambae hukumdhania ni umalaya tu [emoji23][emoji23][emoji23]tusifiche fiche mambo hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kipofu anamuongoza kipofu mwenzake. Huwa naskia ninyi mabinti ambao hamsemagi, kuwa ni hatari! [emoji16][emoji16]

Na ni mafundi kitandani, sijui hiyo coz mnakuwa mmeifanyia tutorial wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…