Umewahi jaribu hii kitu...

chriss brown

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Posts
292
Reaction score
63
Ushawafi kugombana na mamaa,halafu mkachuniana,then baadae mnarudiana,pata picha mlivyomisiana..penzi linakuwa jipyaaaa...raha sana kuwa na likizo kidogo kwenye mapenzi..jaribuni.

Ila wengine hawanaga likizo,mkigombana tu anasepa mazima,mpaka umrudishe utalia,na kama kasha kabwa na mwingine utakoma..ilintokea sijaribu tenaaaaa.
 
Huo utamu unaousikia umewekwa na wenzio waliokuwa wanatumia wakati wewe umenuna, shauri yako
 
hapa tunaongelea husband na wife....au boyfriend na girlfriend.....?

gal and boy preta..Husband and wife,hata miaka 5 ipite mnarudia,naongelea a gal and a boy,ambae mnatarajia kuoana.
 
Sijajua cha kusema bado niseme nini!
 
usizuge kufa wakati hata kuzimia hujawahi. Nalog off
 
mi huwa nafanya hivi: nikigombana na mwenzi wangu kiasi cha kutengana, namwambia kama ni hivyo basi tupige cha mwisho tuagane kabisa, then tukipiga cha mwisho na biashara ya kutengana inaishia hapo hapo.
 
Du!!!.Nimeikubali hiyo mkuu!
 
mi huwa nafanya hivi: nikigombana na mwenzi wangu kiasi cha kutengana, namwambia kama ni hivyo basi tupige cha mwisho tuagane kabisa, then tukipiga cha mwisho na biashara ya kutengana inaishia hapo hapo.

we mkaree!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…