Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
NakaziaWakikuambia tuma pesa waambie unawafuata ofisini kwao
Siku hizi wana mbinu mpya. Wanakuambia utalipia mzigo ukishakufikia lakini utume hela ya nauli sasa hiyo hela ya nauli ukituma ndio unapigwa. Ukiwaambia wakupe anuani walipo uende ukachukue mzigo mwenyewe wanazama chaka.Wakikuambia tuma pesa waambie unawafuata ofisini kwao
Hapo utakua umeamua kupigwa, bidhaa labda ni 50,000 usafiri 5,000 waambie utalipia jumla unapopokea mzigo kwa hiyo walipieSiku hizi wana mbinu mpya. Wanakuambia utalipia mzigo ukishakufikia lakini utume hela ya nauli sasa hiyo hela ya nauli ukituma ndio unapigwa. Ukiwaambia wakupe anuani walipo uende ukachukue mzigo mwenyewe wanazama chaka.
Nyau de adriz
Hawakubali mtu wangu. Kuna mmoja humu hamvini alileta tangazo anauza hizi simu za batan Nokia za zamani kwa kila moja elfu 10 lakini unabidi ununue siyo chini ya tano. Usafiri kukuletea ni elfu 5 dar salaam. Nikamuambia alete nitalipa hadi usafiri hatakiHapo utakua umeamua kupigwa, bidhaa labda ni 50,000 usafiri 5,000 waambie utalipia jumla unapopokea mzigo kwa hiyo walipie
Nilikua natafuta hii comment , huu uzi umeshakamilika@mtoto wa mbandeNakazia
Mkuu, mimi nakutana na stori za namna hii nazisikia kila siku kutoka kwa watumiaji wa hizo huduma kwenye dawati langu la malalamiko wanaokuja kuomba ushauri baada ya kuwa wameshapigwa mamilioni au maelfu ya pesa zao. Kuna jamaa mmoja wa karibu (tuseme ni "mshkaji" wangu wa karibu wa kidijitali) alitaka kununua simu (iPhone) kupitia ukurasa mmoja wa Instagram uliokuwa na followers wengi sana.Hii ni moja ya mbinu zinazotumiwa na matapeli mtandaoni. Mara nyingi hujitangaza kwenye mitandao ya kijamii wakionesha bidhaa, kisha huomba utume malipo kabla ya kukupatia bidhaa. Baada ya kupokea fedha, hupotea au kuacha kujibu simu na ujumbe.
Wewe au mtu unayemfahamu amewahi kukutana na utapeli wa aina hii? Ulichukua hatua gani
- Je, unawezaje kujilinda?
Hakiki utambulisho wa muuzaji kabla ya kutuma fedha.
Soma maoni na uzoefu wa wanunuzi wengine.
Epuka kutuma malipo kamili kabla ya kuthibitisha uhalali wa biashara.
Tumia njia salama za malipo na uhifadhi kumbukumbu za miamala.
Soma > Kuweni Makini na Dar Expart Sales na utapeli wa Pesa Mtandaoni