Umewahi kuahirisha game ama kuilazimisha kishingo upande kwa sababu ya mtu kuwa mchafu?

Umewahi kuahirisha game ama kuilazimisha kishingo upande kwa sababu ya mtu kuwa mchafu?

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Nishawahi kuipata pisi kali sana ilikuwa naenda kununua groceries pale kwake na tukazoeana.

Chapa chap wala sikutaka stori za kaka na dada ama urafiki nikapenyeza ajenda yangu kidume kwamba nimezimika, mtoto akaelewa.

Siku ya jumapili haendi kazini basi ndo tukapanga liwalo na liwe, mie nikiwa na kipuru cha almost wiki 1 nikasema leo ni leo.

Kidume nikajikoki nikamtumia 20k hata aje kwa teksi ni sawa, nikalipia misosi na vinywaji tukashiba, nikaenda kulipa room kwajili ya kumsasambua.

tumefika room hapo nikaanza kumuandaa bibie romance na nini nini, nikaanza kumnyonya kitovu huku namvua zaga, duh jamani, ni kama nilihisi labda kuna soksi imevaliwa siku 3.

Yani hata mzuka uliisha kabisa, askari alikuwa yupo 4g na mishipa kama yote tayari kwa kukamilisha azma lakini nikatoka 100 kurudi 0 mashine ilinywea mithiri naoga maji baridi ya kambini.

Nikazuga zuga kichwa kinauma sikumbuki hata visingizio, nikaweka alarm kwenye simu ipige baada ta dakika 2 nikazuga nimeoata emergency na ndio ikawa history.
 
Next time jitaidi kumuambia ukwel kwamba mama naona kama upo na ugonjwa flani ili atumie dawa Mkuu maana ukija kutangaza uku unakuwa ujamsaidia maana akutumia dawa za fungus anapona Tena inakuwa pisi Yako ya kudumu muda wowote ule unapata huduma
Stay focused be humble Mkuu

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Haikua pisi ndugu hiyo. Pisi huwa tunazivubua tuuu. Liwalo na liwe, majuto ni mjukuu.
Weee uache pisi kama pisi mwaisa. Beki tatu tu tunaruka kama amenona. “PISI” mali safi. Over my dead body. Anuke hata mavi ya tembo. Nikurarua tu.
 
Back
Top Bottom