Umewahi kuahirisha game ama kuilazimisha kishingo upande kwa sababu ya mtu kuwa mchafu?

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Nishawahi kuipata pisi kali sana ilikuwa naenda kununua groceries pale kwake na tukazoeana.

Chapa chap wala sikutaka stori za kaka na dada ama urafiki nikapenyeza ajenda yangu kidume kwamba nimezimika, mtoto akaelewa.

Siku ya jumapili haendi kazini basi ndo tukapanga liwalo na liwe, mie nikiwa na kipuru cha almost wiki 1 nikasema leo ni leo.

Kidume nikajikoki nikamtumia 20k hata aje kwa teksi ni sawa, nikalipia misosi na vinywaji tukashiba, nikaenda kulipa room kwajili ya kumsasambua.

tumefika room hapo nikaanza kumuandaa bibie romance na nini nini, nikaanza kumnyonya kitovu huku namvua zaga, duh jamani, ni kama nilihisi labda kuna soksi imevaliwa siku 3.

Yani hata mzuka uliisha kabisa, askari alikuwa yupo 4g na mishipa kama yote tayari kwa kukamilisha azma lakini nikatoka 100 kurudi 0 mashine ilinywea mithiri naoga maji baridi ya kambini.

Nikazuga zuga kichwa kinauma sikumbuki hata visingizio, nikaweka alarm kwenye simu ipige baada ta dakika 2 nikazuga nimeoata emergency na ndio ikawa history.
 
Haikua pisi ndugu hiyo. Pisi huwa tunazivubua tuuu. Liwalo na liwe, majuto ni mjukuu.
Weee uache pisi kama pisi mwaisa. Beki tatu tu tunaruka kama amenona. “PISI” mali safi. Over my dead body. Anuke hata mavi ya tembo. Nikurarua tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…