Gucci gang
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,682
- 5,277
Wasaalam ndugu wa jf garage.
Katika kupita pita mtandaoni nikabahatika kukutana na anime ya initial d ambayo inahusiana na kijana wa kijapan aitwaye takumi fujiwara ambaye anatokea katika familia ya mzazi mmoja yani yeye na baba yake bunta wakijishughulisha na uuzaji wa chakula flan kiitwacho tofu na ni kama wanasambaza usiku.
Kipindi hiko vijana walikua wanashindana sana katika milima ya huko japan na karibu na anapokaa takumi palikua na mountain pass inaitwa akina. Sasa kulikua na team za kurace kutokana na jimbo ambapo jimbo la akina walikua wanajiita akina speedstars. Hao akina speedstars walikua wanafanya kazi katika sheli kama wajaza mafuta na pia huyo takumi naye alikua anafanya kazi hapohapo hivo takumi alikua marafiki na wanakundi wa akina speedstars.
Mambo yanaanza kua magumu baada ya kikundi cha jimbo lingine kinapokuja katika jimbo la akina na kuomba kushindana nao wakijiita the redsuns.
Lakini mambo yanazidi kua mazito baada ya vijana wa akina kujipima na kuona kwamba hawawezi kabisa kushindana na watu wa redsuns ambao wanakua ni kama wapo out of their league kwa uwezo wao wa kurace katika mountain pass na cha kudhalilisha zaidi ni kwamba redsuns watarace nao katika mountain pass ya akina ambayo ni kama uwanja wa nyumbani.
Wakati wanagoja siku ya kurace ifike mmoja wa wanakikundi wa redsuns ambae ndo anategemewa atarace hio .keisuke Takahashi usiku wakati anafanya practice run au kama mazoezi anapitwa vibaya na mtu ambae hajulikani katika mountain pass ya akina na kupotezwa vibaya sana. Keisuke anaapa lazima amtafute mtu huyo na alipize kisasi. Anawafata wa wangroup wa akina speedstar anawaambia anataka ashindane na mtu aliyempita usiku ule
Katika kuhangaika huku na kule majaamaa wa akina wanapata stori kua kuna jamaa zamani sana alikua anarace na alikua makini sana na ndo mtu pekee aliekua na hilo gari hapo jimboni kutokana na uzamani wake.
Wasichojua ni kua baba huyo ndo baba yake na takumi na pia mzee huyo aliacha kudeliever hicho chakula tokea zamani na anayefanya hio kazi ni takumi fujiwara ambaye wakikaa nae wakipiga stori za magari na kurace anakua kama hana interest kabisa na hayo mambo.
Je, watamwamini takumi ambaye anaonekana hana A wala B ya info kuhusu magari arace na keisuke aweke heshima ya akina???
Kiukweli hii anime ni nzuri mno kwa mtu ambae anapendelea maswala ya kurace na cha kushangaza na nnachoipendea ina info valid kabisa za maswala ya realworld racing
Unataka kujua anti lag inakuaje?
Je tofauti ya Awd na rwd?
Ni anime murua na haichoshi kutazama. Sema kutokana na kwamba ni ya japan inabidi uangalie english dubbed ambayo mimi naangalia telegram pia kuna youtube ila kule wameifungia kwanzia season 2. Hivo utapata season 1 tu. Wale petrolheads msiache kuangalia
Trust me