MR.NOMA
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 339
- 505
Wakuu Habari za Jumapili? Binafsi sijawahi kubadili dini yangu ya awali, ila ninae kaka yangu yeye aliwahi kuhama kutoka KKKT, Full gospel, EAGT na saizi yupo kanisa lingine. Je, humu ndani tunao watu wenye kuhama hama ivo, Nini hasa sababu ya kufanya hivyo.
Tunaomba mlete uzoefu.
Tunaomba mlete uzoefu.