Dr Count Capone
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,878
- 3,263
- Thread starter
-
- #181
Ushawahi kuchati na manz kwa Email? 🤣
Usitake kunikumbusha nilivyokula tofali enzi zile.
😀 Something is telling me wewe ni mzuri tu wereva ze kesi😂[emoji23] Muonekano upi achana na hizi avatar fake tunazoweka jf
Lala uniote eeenh
Auntie Makiwendo tumwambie nilivyo ili asinikimbie au tumuache[emoji3] Something is telling me wewe ni mzuri tu wereva ze kesi[emoji23]
Hiyo kukuota umeniruhusu nikuote tupo mazingira yoyote ?[emoji39]
Nasoma comments bruh 😄
Sijui hata nakwama wapi na wala sijui sababu ya kuwa blocked 😒Asee
Mrembo kama wewe inakuaje kijana akubloku?
Please jisikie huru kutuambia mkuu financial services
Astaghfiru dohSijui hata nakwama wapi na wala sijui sababu ya kuwa blocked 😒
Mambo hayaendi hivi Dogo..[emoji3] Something is telling me wewe ni mzuri tu wereva ze kesi[emoji23]
Hiyo kukuota umeniruhusu nikuote tupo mazingira yoyote ?[emoji39]
Dada umenikuta kwenye one and two😂 ,mambo ?Mambo hayaendi hivi Dogo..
[emoji1787]
Una mambo ya kitoto kumbe 😊Sanaa
Naweza kuku unblock ili nikuseme af katikati ya msemo nakulamba block
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dada umenikuta kwenye one and two[emoji23] ,mambo ?
Si unajua hakuna muda wa kupoteza,mambo ni mengi😂,huku katiba mpya,huku mapenzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Speed ni kubwa sana..
Hii I'd imenikumbusha member mmoja hajibu dm siku hiziSanaa
Naweza kuku unblock ili nikuseme af katikati ya msemo nakulamba block
Shukran kwa uwasilishaji mzuri mkuuNaungana na Mwamba 777 Block ni utoto na mambo ya kishamba ila si jambo la kushangaza mwanamke akifanya hivyo maana wanawake ni watoto wakubwa 😅... mtoto mwenye maziwa, anayeweza kuzaa na anayerefuka kimo. Lakini bado ni mtoto. (Mwenye kuelewa ameelewa)
ANAEKU-BLOCK HAKUPENDI! (aidha mwanamke au mwanaume)
usipoteze muda kuumia na kuwaza. Na ukiona Dume linafanya hivi inabidi lifanyiwe tathmini.
Ushauri ni kwamba... Wanawake wapo wengi sana! Hangaika kuchagua kwa makini, unaweza kumpata bora kuliko aliyepita Ingawa si rahisi kumsahau mrembo wako uliyempenda kabla akakuletea utoto akaku-block.
Kumbuka:- Unaweza kuwa blocked mwanzoni ukapambania zigo kama ndugu yangu Mzee wa kupambania na ukampata... kama uko serious lakini
#Nawasilisha
Thank you for feel meI feel u
Kawaida katika maisha kanipa block fb tuu tsap ipo open ila sihitaji kumtafuta kwa dalili aliyo nionyesha na msimamo wangu ktk maisha sihitaji na haitakuja kutokea nipelekeshwe na mwanamke hawa wameumbwa watusikilize tuwasikilize lkn sio watupelekeshe asee!!Pole mkuu
Ila bloku inauma sana[emoji1787]