Umewahi kuchezea block toka kwa mpenzi wako? (Ushuhuda)

Naam mkuu

Huo ndio msimamo wa kiume
 
Mimi niliwahi kula blokuu kwa mtoto mmoja hivi alionesha kunielewaa maana kabla sijamtongoza alikuwa ananiita kipenzi na majina ya kuvutiaaa kinomaaa basi bwana nikimcheki anaonesha kunijali sanaaaaa (mara take care) nk, weeh mm nikawa sina papara za haraka haraka nikaona nisije nikaharibu mambo nikawa navunga si nikaj kuona status kwenye mtandao mmoja wa messaging eti kaandika nakupenda hivohivo ikiwa haina picha ya mtu anayemwambia hivoo

basi kulingana na hiyo nikilinganisha na yale majina nikaona huenda naambiwa mm nikaona isiwe tabu nimfungukiee tu maana me mwenyewe nilikuw nampenda nikaja kumtext jionii akanijibu ndo nilikuwa nakuwazaaa hapa sasa nikasema mambo si ndo haya basi nikamueleza lengo langu akasema asante akawa anajibu asante nikamwambia sema kitu roho itulie aiseee nilipewa jibu la kunikatisha tamaa kabisaaa akasema sitamuweza kabisaaa nikamuuliza kwann na kvp akawa hanipi majibu ya kueleweka sasa sisi wengine hatuwezagi kubembeleza nikamwambia sitakutongoza tenaaa basi toka hapo nikalambwa bloku saafi koteee yaani fb,insta, normal messages,calls, isipokuwa tiktok tu naona anajilalamisha kule mara ooh alikununiaa ukiwa wapi mara sijui nn mambo mengi kwa kweli

Kama yupo humu atambue bado nampenda hivo tuu
 
Best Friend hatongozwi
 
Hahah,mkuu kwa kifupi hapo ulishoboka ila hizo status ulizoona anapost wala haikua zinakuhusu,kwakifupi ana jamaa yake anae mpeleka speed,ivo wew ulivamia sherehe isiyo kuhusu.
 
Wenzako wanachezea papuchi na sio block
 
Huo utoto asije akajaribu nitampiga chini mazima
 
Kuna jamaa yangu alimblock demu ambaye hata huwa hamtafuti.

Love is crazy.
 
Duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…