Ngoja nikublock.Sina kumbukumbu.
Ila binafsi huwa naona block ni utoto sana aisee...
Simu yako kila kitu chako si ni wewe utaamua usome usijibu au usiisome kabisa au umpeleke Archived huko.
Unambock mtu unamuogopa nini?
Ninaongea sana kwenye smsWewe inaonekana njemba akiyakanyaga kwenye ugomvi wa meneno atajuta🤣🤣🤣
Ukimya unataka nidhamu sana na kutokuwa na roho ya hurumablock ya nin ukimya tu unammaliza
HapanaSipendagi ujinga na utoto utoto, hivyo ukiniletea hizo pigo nakulima block na namba nafuta.
Hata jf ni kulima ignore tu nisione ujinga wako. Ni vile tu jf unakuta umemuignore mtu then bado anaweza kukumention eti na notification unapata🙆🙆🙆
Na pia usiwe na kiherehereUkimya unataka nidhamu sana na kutokuwa na roho ya huruma
Kwa hiyo ujasiri unakuwa nao ikiwa hamuonani ile physically 🤣🤣🤣Ninaongea sana kwenye sms
Nipigie sasa uone 😂😂
Mbona huwa inakuwa kwenye notification list🙆🙆Hapana
Uki ignore hapa hupati notification
Ila utakuwa unamuona kama alilike cha mtu
Ukiwa na kiherehere hauwezi kufikia malengo yakoNa pia usiwe na kiherehere
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja nikublock.
Me sijawahi ona hivyoMbona huwa inakuwa kwenye notification list🙆🙆
Sema ndio huwa sifungui.
Nitajitahidi, sema nilipe kwanza.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utaweza sasa????
Kwenye app?Me sijawahi ona hivyo
Tena najua hata akikulike hupati notification
PoleeHata sasa hivi nimechezea block ila sawa tu 🤪
Sababu ya kumlima block ni nini mkuu?Daah kuna toto la jitu nimelipiga block whatsapp naona bado ananitafuta normal text nasubiri mashetani yangu yapande nimgonge block na normal text
NB;pata potea ndo trick nilio icheza sina muda mchafu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nitajitahidi, sema nilipe kwanza.
Ndio ipo huwa inaongezekaHiyo ninayo kwa mbali 🤣🤣