Umewahi kuchezea block toka kwa mpenzi wako? (Ushuhuda)

Kuna manzi nilimuelewa mno ikafika ck nikamuuliza inakuaje mbona umekua hata kunitafuta shida au km una mtu sema tu niwe wazi akasema yamekua hayo... Nikamwambia ndio sasa ck moja nipo fb nilitaka nmtumie ujumbe nikawa simwoni ndio nikagundua kanipa block. Nikamtafta kwa namba nyingine nikatext akajibu ww nani nikamwambia ndio umenipa block? Akasema sitaki usumbufu iliniuma mno.Ila nachochua kwa mtu unaempenda au anayekupenda hawezi kublock lkn ukiona umeblockiwa ujue hapo hakuna upendo.
 
Pole mkuu

Ila bloku inauma sana🤣
 
Mkuu ulipambana kweli hukukata tamaa , kipande kilichonifurahisha ni kile umeomba block alafu ukaomba vikwazo vitolewe baada ya kushinda yaani hapo ni sawa na kuomba vita alafu ukapigwa tukio ukakubali mwenyewe yaishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…