Maalim Jumar
JF-Expert Member
- Dec 28, 2010
- 1,259
- 118
Kuweka kumb kumb?utoto
Itakua ni vzuri. Na hili wataolitekeleza ni wale wali makini.Habari zenu JF!
Si vibaya tukazoea kuweka kumb kumb kwa haya:
1- Wale wana ndoa baada ya ku do unaandika leo nime....mara....
2-Wale wasioa wakizini nao waandike leo nime .... Mara....
3- Hili naona litasaidia kujua na kugundua matatizo mengi utayohisi kuyapata kutoka kwa mwenzio.
Ikifanyika hivi kwani itakuaje?
Mtazamo tu!
Basi ungefafanua upuuzi upi na pumba ni zipi?:twitch😛umba...Upuuzi...Crap!!:A S thumbs_down:
Nakuheshim kwa kukurupuka kwako Desidii....Hivi vitoto jamani aakkhhh vinaudhi jukwaa lao lini linaanza bana??? Mod hebu tutendeeni haki
Ukiwa hivyo mkuu hata mambo yako mengine utakua makini.Mimi huwa naweka "stop watch" ili niweze kujua nimeshusha mzigo baada ya dakika ngapi!!!
Nakuheshim kwa kukurupuka kwako Desidii....
Kuna ajbu gani ukaweka kumb kumb kwa wiki ume do mara ngapi? Au kwa mwezi ume do mara ngapi? Hadi kwa mwaka ume do mara ngapi? Ujiwekee tathmin kama unavyofanya mambo yako mengine!
Hata hivyo najifunza kuwajua member kama ww!
Vitu muhimu naandika ikiwa hili.Do you note down everything you do in life? Only few things which needs to be reminded later not every act!
Hapo kwenye red nakuacha