Michelle JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 7,628 Reaction score 3,535 Jan 28, 2011 #21 Keep writing/thinking ,someday you will write/think something intelligent......:coffee:
MADAM T JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 5,747 Reaction score 2,977 Jan 28, 2011 #22 He! ukishajua na kugundua hayo matatizo itakusaidia nini zaidi ya kuharibu uhusiano, wewe mbona mchonganishi jamani?
He! ukishajua na kugundua hayo matatizo itakusaidia nini zaidi ya kuharibu uhusiano, wewe mbona mchonganishi jamani?
N Ndevu mbili JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 379 Reaction score 41 Jan 29, 2011 #23 MADAM T said: He! ukishajua na kugundua hayo matatizo itakusaidia nini zaidi ya kuharibu uhusiano, wewe mbona mchonganishi jamani? Click to expand... Ninaona uaminifu kwetu ni matata! Hili nalo ni uchonganishi? Unahofu nini kama upo nae pekee?
MADAM T said: He! ukishajua na kugundua hayo matatizo itakusaidia nini zaidi ya kuharibu uhusiano, wewe mbona mchonganishi jamani? Click to expand... Ninaona uaminifu kwetu ni matata! Hili nalo ni uchonganishi? Unahofu nini kama upo nae pekee?