Kesho ufike idara ya uhamiaji na vielelezo vyako maana watu wa huko 90% si watz[emoji23][emoji23][emoji23]Mtukome nasisi ni watanzania
Kwani ww ni mtz halisi? Why kigoma mbona watu wa songea,Arusha,musoma,Karagwe,mbeaya mbona hamsemi sio wa Tzii mmewaona wa kigoma tu..Kesho ufike idara ya uhamiaji na vielelezo vyako maana watu wa huko 90% si watz[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
I was joking mkuu,dnt take it too serious.Kwani ww ni mtz halisi? Why kigoma mbona watu wa songea,Arusha,musoma,Karagwe,mbeaya mbona hamsemi sio wa Tzii mmewaona wa kigoma tu..
Pamoja kiongozi.I was joking mkuu,dnt take it too serious.
Poapoa kakaPamoja kiongozi.
Enzi hizo napanda saratoga na adventure nikiwa o level aisee ukishuka tu pale stendi una make up ya hatari
Ray nawe mkorofii