Umewahi kufikiria siku ukikatwa uume utaishije?!!!

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Nawaza tu. Katika hali ya kawaida,iwe kwa ajali au vinginevyo. Nitawezaje kuishi bila uume. Kwa wale wasiojua uume ni sehemu za siri za nwanaume katikati ya mapaja zimefungamana na korodani.

Uume ndio unanifanya nionekane mwanaume,niheshimike ndani ya 6 kwa 6,mke wangu anililie pale ninapochepuka. Kama sina uume si ndoa itakufa hata kama napendwa sana. Mke wangu itakuweje,si nitakuwa siwezi kumkaza?akikazwa nje nitamlaumuje wakati sababu ninazo.

Kwa kweli ukomo wangu wa kufikiria umefika ukingo. Tusaidiane wakuu. Itakuwaje kidume bila uume hata wa kuzugia tu(usio na nguvu)
 
Ikitokea umekatwa itabidi tu upewe sumu ili ufe kabisa. Haina maana kuendelea kuishi kwani huo uume ndio roho yako,pumzi, uzima na kila kitu.
 
Itakulazimu uolewe maana sababu utakuwa nazo ikiwemo ya kukosa hata dudu ya kuzugia
 
MKUU KUKATWA UMEENDA MBALI SANA...NI HERI UKATWE IJULIKANE UMEKATWA HAUNA...MAUMIVU NI PALE UNAO LAKINI HAUFANYI KAZI YANI NI GOGO UPO KAMA UREMBO TU USIOMBE HII HALI
 
Kwa hiyo mkuu uume ndio unakuweka mjini au mimi ndio sijaelewa
 
Dah..!
Yaani unawaza kukatwa mboo tu?
Au wewe ni marioo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…