Umewahi kufikiria Wasanii kuwa katika mahusiano na kuanzisha biashara wakafanikiwa?

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
Je, umewahi kujiuliza kama wewe na mwenza wako mnaweza kushirikiana kibiashara?

Navy Kenzo wametoka mbali katika safari yao ya mahusiano na muziki.

Mwaka 2008, Aika na Nahreel walikutana na kuanza safari yao ya muziki nchini India walipokuwa masomoni.

Mwaka 2011, wawili hao waliungana na marafiki zao kuanzisha kikundi cha muziki kiitwacho Pah One, lakini baada ya muda wakajiondoa.

Mwaka 2013, Aika na Nahreel walianzisha Navy Kenzo, ambapo walitoa nyimbo zilizofanikiwa na kumiliki lebo ya The Industry Studios. Wamejenga familia na kupata watoto wawili, Gold na Jamaika.
 
Mastar wetu wana cha kujifunza hasa kwenye maisha ya mahusiano na ustar toka kwa hawa watu.
 
Hapa nandy ametufundisha pesa kwanza mapenzi baadae
Ruge asingekufa Nandy na bill wasingeoana zaidi tu Nandy angekua anacheza match za Away na Bill.
Msimuige sasa, tangulizeni makopa kwanza.
 
Kweli kabisa otherwise kopo na mfuniko vikikutana haiwezekani.
Wengine ujuaji na kujifanya kila mmoja yuko juu ya mwenzie, hawajui ili mambo yaende kwenye mapenzi mmoja lazima akubali kujishusha..!! Huoni zama na madobe wake, madobe kapoa penzi na kazi zinafanyika vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…