wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
Point muhimu sana hiiDon't let them know your next move
Wewe muibiwa wazo utakuwa ni mjinga mno kuongea kila kitu unachotaka kukifanya mbele za watu. Hakuna wazo jipya ila upya ni jinsi ya kulifanya. Atakachochukua ni jinsi ulivyotaka ulifanye. Pia upumbavu wako mwingine ni kuchelewa kuanza kufanyia kazi wazo lako. Anza kidogo kidogo pumbavu wewe.
- mpo mnapiga story mtu anapita nayo
- umeenda kuomba mkopo benki wanahitaji kuiona business plan wanapita nayo
- umeenda kwenye kampuni kuuza wazo wanakuwahi
- n.k.
Umeumiza kichwa kufanya uchunguzi wa soko, location nzuri ya kutega, machimbo, gharama, wateja, n.k.
Ghafla unastuka kuna mwamba anachofanya ni copy paste na wazo lako, unagundua kuna mahali data zimevuja ila kinachokasirisha zaidi umepigwa kanzu ya kikatili bila ruhusa, mbaa zaidi alieiba anapiga pesa za kutosha
Mawazo mapya yapo na ndio yanawafanya watu kuwa matajiri.Hakuna wazo jipya la biashara sidhani kama umeibiwa
Yalikua mapya kipindi kile sio sasaMawazo mapya yapo na ndio yanawafanya watu kuwa matajiri.
Kina Bill Gates wote walikuja na vitu vipya ndio maana ni matajiri mpaka sasa.
Au unataka kuniambia pia kina Mkwawa walikua wanatumia Microsoft??
Sasa unafikiri leo haiwezi kuwa jana ya baadae.Yalikua mapya kipindi kile sio sasa
Tofautisha invention na business ideaSasa unafikiri leo haiwezi kuwa jana ya baadae.
Akili yako ikifikia mwisho wake usifikiri ni kwa kila mtu.
Bado kuna mambo mengi mno ya kugundua na yataendelea kufanyika kila siku.
Niambie ni wazo la biashara gani ambalo halijawahi kufanyikaSasa unafikiri leo haiwezi kuwa jana ya baadae.
Akili yako ikifikia mwisho wake usifikiri ni kwa kila mtu.
Bado kuna mambo mengi mno ya kugundua na yataendelea kufanyika kila siku.