Umewahi kujifunza kitu gani kipya kwenye vipindi vya televisheni na Radio?

realMamy

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2024
Posts
3,925
Reaction score
8,853
Mimi binafsi nikitazama Televisheni huwa napenda kubadilisha badilisha ili nipate hata kipindi chochote nitakachojifunza kitu kipya kitakachonipa faida.

Mara nyingi mambo ni yaleyale huku kule ni shidaa.
 
Azam wamepandisha bei ya vifurushi mkuu, hatuangaliii televisheni
 
Mimi binafsi nikitazama Televisheni huwa napenda kubadilisha badilisha ili nipate hata kipindi chochote nitakachojifunza kitu kipya kitakachonipa faida.

Mara nyingi mambo ni yaleyale huku kule ni shidaa.
Humu humu wasafina clouds au kwingine?...kwa humu hamna zaidi ya ujinga wa kina baba levo
 
Back
Top Bottom