Naona TV
Member
- Apr 24, 2022
- 6
- 3
Tuongelee filamu kidogo..
Inasadikika kuwa baadhi ya movies (Filamu) ukitazama zinaweza kukufundisha ujuzi au masuala ambayo hukuwahi kuyafahamu kwa urahisi kabisa.
Mfano movies zinazohusu masuala ya sheria/kesi zinapendwa na wengi sababu zinatoa elimu ya Sheria na mienendo ya haki huku zikiburudisha.
Je, umewahi kujifunza ujuzi gani kupitia movie?