Umewahi kujifunza ujuzi gani kupitia Filamu?

Naona TV

Member
Joined
Apr 24, 2022
Posts
6
Reaction score
3
Tuongelee filamu kidogo..

Inasadikika kuwa baadhi ya movies (Filamu) ukitazama zinaweza kukufundisha ujuzi au masuala ambayo hukuwahi kuyafahamu kwa urahisi kabisa.

Mfano movies zinazohusu masuala ya sheria/kesi zinapendwa na wengi sababu zinatoa elimu ya Sheria na mienendo ya haki huku zikiburudisha.

Je, umewahi kujifunza ujuzi gani kupitia movie?

 
Usimuamini yoyote kwa asilimia 100 na ukajiachia kwake.
 
Fedha ya dhuluma Mara nyingi mwisho wake mbaya. Movie hizi mbili zilinifundisha hili. A simple plan (1998)na triple Frontier (2019)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…