High Vampire
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,915
- 2,134
awali ya yote namshukuru mungu kwa kuamuka salama kabisa kwa kweli nilipata mwanamke kwa njia ya email ambaye tulikuwa tunachat naye kalibia miezi mitano hatujaonana isipokuwa picha alinitumia na mm nikamtumia tukawa marafiki baadaye yeye akawa amepata uhamisho wa kutoka sehemu aliyokuwa anafanyia kazi na kuja sehemu ambayo mimi naishi na ndio nafanyia kazi nmeajiliwa na nmejiajii baada ya kupata uhamisho akawa ndio anakaa kwangu akawa amepata nyumba ya kazini kwao kwa sababu yeye ni mwalimu akawa anakaa hapo hapo shuleni sasa leo muda wa asubuhi akawa amenitumia sms inasema "mpenzi nataka leo nje unitibu maana ugonjwa umezidi sana namalizia kufua" na mimi nkareply "mpenzi usijali mimi npo kwa ajili yako njoo nkutibu " kwa kuwa nilikuwa cjaenda kazini nilikuwepo kwenye supermarket yangu nilikuwa namalizia kuchukua taarifa ya vitu vilivyopungua ili niagize mapema nikawa nimemtumia sms nitakukuta home saa nne ucjali mpenzi imefika saa tatu na nusu nikaanza kuelekea home nkakuta mlango wa kuingia upo wazi nikaingia kuangaza sioni mtu ila nasikia sauti ya mtu kama akifanya mapenzi nkawa nmeanza kunyatia polepole sana na kuingia chumbani naingia chumbani tu nikaangalia kitandani ndipo nilipomuona mpenzi wangu akiwa uchi kama alivyozaliwa akijishika shika mwili mzima na analia sauti za mahaba kama ana mwanaume ndani baada ya kuona ndipo nilirudi taratibu taratibu hadi sebuleni nkakaa baada ya muda akaja sebuleni aliponikuta akapigwa butwaa akasema mpenzi umekuja saa ngapi na mimi nkasema nmekuja saizi akasema nahic joto nmekunywa chai nataka nioge akaingia bafuni na kuoga na mimi nkaingia tena chumbani na kukaa aliporudi tukaanza mambo nilipomuuliza kwa nn alikuwa anafanya vile akasema alikuwa anapunguza hamu je kweli hii ni halali