Umewahi kujiuliza haya maswali?

Umewahi kujiuliza haya maswali?

Grace glory

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2018
Posts
374
Reaction score
531
Habari wakuu!

Nafikiri kila mmoja hapa anachangamoto yake, poleni katika hayo, maisha ni lazima yaendelee tu
Ila leo nataka nijue niwangapi walishawahi kujiuliza haya maswali:

(1) Mungu ni nini?

(2)shetani ni nini?

(3) Roho ni nini?

(4,) Dini ni nini?

(5) Mwanadamu ni nini?

(6)Moto wakuchoma roho uko wapi

(7) Mbinguni ni wapi?

(8)Kifo ni nini?

(9) Imani ni nini?

(10)Jehanamu niwapi? (Mwisho kabisa

(10)MWANZO WA HAYO YOTE NI NINI?

Kama unajibu kamili kati ya maswali haya yote tunaombeni majibu jamani.

Asanteni [emoji848]
 
1. Mungu

ni nishati chanya inayopotikana kwenye kila kitu , ila kiuhalisia kama kiumbe hakuna Mungu.

2 .shetani

ni nishati hasi inayopatikana kwenye kila kitu , ikishirikiana na chanya ili kuleta balance kwenye kila hali.

3.Roho.

ni mnyumbuliko wa nishati kwenye kila maumbile ili kuleta nguvu na utashi katika maumbile husika.

4.Dini,

ni utaratibu na mfumo wa tamaduni fulani ,zilizowekwa ili kufanya mamlaka za kiserikali kuongoza jamii ,katika hofu fulani ili kutimiza matakwa za kisheria katika mawanda ya chini ya kiutambuzi , katika mfumo wa HOFU , AHADI NA KIFUNGO.

5. mwanadamu .

ni kiumbe alie jipambanua kwamba yeye ana utashi , maarifa, na mtawala kwa viumbe wote , katika mifumo ya kiserikali , kidini na nyanja mbalimbali ,bila kujali kuwa hata nyuki wana mifumo yao ya kuendesha maisha iliyo bora na ufanisi wa hali ya juu kabisa kuzidi hata binadamu.

6 Moto .

ni moja wapo ya nyenzo kuu ya Dini ili kuwezo kumtiisha binadamu mwenye utambuzi wa chini kutii mamlaka na sheria za kijamii.

7. Mbinguni.

pia ni nyenzo kubwa kabisa ya dini , kama Ahadi ili kuweza kumtiisha binadamu mwenye utambuzi wa chini ili kutii mamlaka na sheria za kijamii .

8 kifo.

Ni mwisho wa kiumbe chochote kile ,kuishi katika maumbile ya kimwili , katika kipindi fulani , ambapo viumbe hivi vikishafika mwisho katika maumbile ya kimwili vinaendeleza uhali katika mfumo wa nishati kwenye maumbile mengne, mchakato huu ni endelevu na unategemeana , uhai na kifo ndio maisha yenyewe .

9.Neno
"imani" linaweza kuwa na maana kadhaa kulingana na muktadha wake, lakini kwa ujumla, inaweza kumaanisha:

a Imani ya Kidini: Imani katika Mungu au nguvu za kiroho. Kwa mfano, imani ya Kikristo au ya Kiislamu.

b. Imani ya Kibinafsi: Kuamini kitu bila ushahidi wa moja kwa moja au bila kuona. Inaweza kumaanisha kuwa na imani katika uwezo wa mtu au jambo fulani.

c. Kujiamini: Kuwa na imani katika uwezo wako mwenyewe au uwezo wa wengine.

d Kuaminika: Kusema kuwa kitu ni cha kuaminika au kinasadikika.

Ili kuelewa maana kamili ya "imani" katika muktadha maalum, unahitaji kuzingatia jinsi neno hilo linavyotumiwa katika sentensi au muktadha husika.

1o Jehanam.

Neno "Jehanam" lina asili yake katika lugha ya Kiarabu. Katika lugha ya Kiarabu, "Jahannam" (جهنم) linamaanisha "Jehanamu" au "kuzimu." Neno hili linatumika katika lugha ya Kiarabu, pamoja na katika dini ya Kiislamu, kuelezea mahali pa adhabu kali ambapo waumini waovu na wenye dhambi wanaweza kujikuta baada ya kifo, kulingana na imani ya Kiislamu.

Jina "Jahannam" linaweza kufuatiliwa katika lugha ya Kiarabu na linahusiana na mifumo ya dini za Kiislamu na Kiaramu. Ni muhimu katika mafundisho ya dini ya Kiislamu kuhusu adhabu na malipo katika maisha ya baada ya kifo.

Pia ni nyenzo kuu katika dini kama KIFUNGO ili kufanya watu wenye utambuzi wa hali ya chini kufuata na kutii maamlaka ya jamii husika.
 
1. Vyovyote utakavyoamua kulipa hilo neno tafsiri (it's open for interpretation)

2. Muhusika wa kufikirika, pia yupo open for interpretation, unaweza kumtumia metaphorically kuwakilisha uovu.

(Mfano, Mauaji ya albino ni ushetani)

3. Fiction

4. Coping mechanism ya binadamu haswa kwa vitu asivyovielewa, kama asili yake, jinsi gani ya kuishi, maana ya maisha na hofu ya kifo, kuna mda inatumika kama propaganda ku shape fikra za watu. Biashara nzuri pia, hulipi kodi

5. Mnyama aliyegundua moto

6. Fiction

7. Mvua inapotokea

8. Kinyume cha maisha

9. Kutarajia au kuwa na uhakika bila ushahidi

10. Fiction

11. Hakuna anayejua
 
Kinachoendelea kwenye dunia ni movie.
Director ni Mungu.
Na hii movie imebeba categories zote
i. Action
ii. Drama
iii. Crime
iv. Thriller
v. Adventure
vi. War
vii. Romnace and Sex
viii. Horror

Sasa ukiwa mjinga, utakuwa jambazi

Tumia akili usidanganyike kizembe
 
Habari wakuu!

Nafikiri kila mmoja hapa anachangamoto yake, poleni katika hayo, maisha ni lazima yaendelee tu
Ila leo nataka nijue niwangapi walishawahi kujiuliza haya maswali:

(1) Mungu ni nini?

(2)shetani ni nini?

(3) Roho ni nini?

(4,) Dini ni nini?

(5) Mwanadamu ni nini?

(6)Moto wakuchoma roho uko wapi

(7) Mbinguni ni wapi?

(8)Kifo ni nini?

(9) Imani ni nini?

(10)Jehanamu niwapi? (Mwisho kabisa

(10)MWANZO WA HAYO YOTE NI NINI?

Kama unajibu kamili kati ya maswali haya yote tunaombeni majibu jamani.

Asanteni [emoji848]

Mkuu majibu ya maswali yako yanatofautiana kutokana na mtazamo, imani, tamaduni na elimu ya watoa majibu.

Kwa mtazamo wangu, napenda kutoa majibu yafuatayo:

1. MUNGU: Ni kumbe, viumbe, ushirika wa viumbe vinavyoishi anga za mbali vyenye uwezo wa hali ya juu kimaarifa na kiteknolojia.

2. SHETANI: Ni viumbe jamii ya Mungu ambavyo katika majukumu yao ni washindani wa Mungu.

3. ROHO: Ni jambo la kufikirika zaidi na lipo kiimani zaidi.

4. DINI: NI taasisi ya kiimani kuhusu Mungu.

5. MWANADAMU: Ni chombo kilicho tengenezwa na Mungu kwa kusudi la kufanikisha mawasiliano kati ya dunia yetu hii na Mungu waliopo anga za juu.

6. MOTO: Ni mabadiliko ya maangamivu yanayoweza kusababishwa na kuanguka kwa vimondo, milipuko ya volkano, vita ya nuklia au mabadiliko ya hali ya hewa duniani.

7. MBINGUNI: Ni anga iliyopo mbali na upeo wa macho ya mwanadamu!

8. KIFO: Ni hali ya kukomo/kufikia mwisho mwa uhai wa viumbe hai hapa duniani.

9. IMANI: Ni hali ya kuamini/kusadiki juu ya jambo, kitu, kiumbe, mfumo, desturi au utamaduni kuwa una nafasi ya kumsadia mtu kutatua matatizo/changamoto yake.

10. JEHANAMU: Ni jambo la kufikirika pia na lipo kiimani zaidi kuwa ni makao ya shetani na wafu!

11. Mbali na maswali yahusuyo Mungu, shetani na mwanadamu hapo juu, mengine yote ni mambo ya kufikirika zaidi na hivyo mwanzo wake ni uwepo wa mwanadamu.

Mkuu mwanzo wa mwanadamu ni Mungu na shetani maana hao ni jamii moja. Mungu na shetani nao wana vyanzo vyao ambavyo ndio vilivyotengeneza anga na mifumo yote ya anga za juu zote.
 
1. Mungu

ni nishati chanya inayopotikana kwenye kila kitu , ila kiuhalisia kama kiumbe hakuna Mungu.

2 .shetani

ni nishati hasi inayopatikana kwenye kila kitu , ikishirikiana na chanya ili kuleta balance kwenye kila hali.

3.Roho.

ni mnyumbuliko wa nishati kwenye kila maumbile ili kuleta nguvu na utashi katika maumbile husika.

4.Dini,

ni utaratibu na mfumo wa tamaduni fulani ,zilizowekwa ili kufanya mamlaka za kiserikali kuongoza jamii ,katika hofu fulani ili kutimiza matakwa za kisheria katika mawanda ya chini ya kiutambuzi , katika mfumo wa HOFU , AHADI NA KIFUNGO.

5. mwanadamu .

ni kiumbe alie jipambanua kwamba yeye ana utashi , maarifa, na mtawala kwa viumbe wote , katika mifumo ya kiserikali , kidini na nyanja mbalimbali ,bila kujali kuwa hata nyuki wana mifumo yao ya kuendesha maisha iliyo bora na ufanisi wa hali ya juu kabisa kuzidi hata binadamu.

6 Moto .

ni moja wapo ya nyenzo kuu ya Dini ili kuwezo kumtiisha binadamu mwenye utambuzi wa chini kutii mamlaka na sheria za kijamii.

7. Mbinguni.

pia ni nyenzo kubwa kabisa ya dini , kama Ahadi ili kuweza kumtiisha binadamu mwenye utambuzi wa chini ili kutii mamlaka na sheria za kijamii .

8 kifo.

Ni mwisho wa kiumbe chochote kile ,kuishi katika maumbile ya kimwili , katika kipindi fulani , ambapo viumbe hivi vikishafika mwisho katika maumbile ya kimwili vinaendeleza uhali katika mfumo wa nishati kwenye maumbile mengne, mchakato huu ni endelevu na unategemeana , uhai na kifo ndio maisha yenyewe .

9.Neno
"imani" linaweza kuwa na maana kadhaa kulingana na muktadha wake, lakini kwa ujumla, inaweza kumaanisha:

a Imani ya Kidini: Imani katika Mungu au nguvu za kiroho. Kwa mfano, imani ya Kikristo au ya Kiislamu.

b. Imani ya Kibinafsi: Kuamini kitu bila ushahidi wa moja kwa moja au bila kuona. Inaweza kumaanisha kuwa na imani katika uwezo wa mtu au jambo fulani.

c. Kujiamini: Kuwa na imani katika uwezo wako mwenyewe au uwezo wa wengine.

d Kuaminika: Kusema kuwa kitu ni cha kuaminika au kinasadikika.

Ili kuelewa maana kamili ya "imani" katika muktadha maalum, unahitaji kuzingatia jinsi neno hilo linavyotumiwa katika sentensi au muktadha husika.

1o Jehanam.

Neno "Jehanam" lina asili yake katika lugha ya Kiarabu. Katika lugha ya Kiarabu, "Jahannam" (جهنم) linamaanisha "Jehanamu" au "kuzimu." Neno hili linatumika katika lugha ya Kiarabu, pamoja na katika dini ya Kiislamu, kuelezea mahali pa adhabu kali ambapo waumini waovu na wenye dhambi wanaweza kujikuta baada ya kifo, kulingana na imani ya Kiislamu.

Jina "Jahannam" linaweza kufuatiliwa katika lugha ya Kiarabu na linahusiana na mifumo ya dini za Kiislamu na Kiaramu. Ni muhimu katika mafundisho ya dini ya Kiislamu kuhusu adhabu na malipo katika maisha ya baada ya kifo.

Pia ni nyenzo kuu katika dini kama KIFUNGO ili kufanya watu wenye utambuzi wa hali ya chini kufuata na kutii maamlaka ya jamii husika.
Nilishwahi kuyapata haya mafunzo kwa Rastaman mmoja ivi mbona inawezakuchukuliwa kama njia sahihi ya maisha tu? Kwann watu wengi wa dini hawana majibu yaliyonyooka hivi?
Asante mkuu[emoji1666]
 
Kinachoendelea kwenye dunia ni movie.
Director ni Mungu.
Na hii movie imebeba categories zote
i. Action
ii. Drama
iii. Crime
iv. Thriller
v. Adventure
vi. War
vii. Romnace and Sex
viii. Horror

Sasa ukiwa mjinga, utakuwa jambazi

Tumia akili usidanganyike kizembe
Lakini hata tutumie akili vipi director si ni Mungu? Je kama ni scene yangu ilitakiwa niwe hivi si natmiza kipande cha movie anayoitunga mungu?
 
Mkuu majibu ya maswali yako yanatofautiana kutokana na mtazamo, imani, tamaduni na elimu ya watoa majibu.

Kwa mtazamo wangu, napenda kutoa majibu yafuatayo:

1. MUNGU: Ni kumbe, viumbe, ushirika wa viumbe vinavyoishi anga za mbali vyenye uwezo wa hali ya juu kimaarifa na kiteknolojia.

2. SHETANI: Ni viumbe jamii ya Mungu ambavyo katika majukumu yao ni washindani wa Mungu.

3. ROHO: Ni jambo la kufikirika zaidi na lipo kiimani zaidi.

4. DINI: NI taasisi ya kiimani kuhusu Mungu.

5. MWANADAMU: Ni chombo kilicho tengenezwa na Mungu kwa kusudi la kufanikisha mawasiliano kati ya dunia yetu hii na Mungu waliopo anga za juu.

6. MOTO: Ni mabadiliko ya maangamivu yanayoweza kusababishwa na kuanguka wa vimondo, milipuko ya volkano vita ya nuklia au mabadiliko ya hali ya hewa duniani.

7. MBINGUNI: Ni anga iliyopo mbali na upeo wa macho ya mwanadamu!

8. KIFO: Ni hali ya kukomo/kufikia mwisho mwa uhai wa viumbe hai hapa duniani.

9. IMANI: Ni hali ya kuamini/kusadiki juu ya jambo, kitu, kiumbe, mfumo, desturi au utamaduni kuwa una nafasi ya kumsadia mtu kutatua matatizo/changamoto yake.

10. JEHANAMU: Ni jambo la kufikirika pia na lipo kiimani zaidi kuwa ni makao ya shetani na wafu!

11. Mbali na maswali yahusuyo Mungu, shetani na mwanadamu hapo juu, mengine yote ni mambo ya kufikirika zaidi na hivyo mwanzo wake ni uwepo wa mwanadamu.

Mkuu mwanzo wa mwanadamu ni Mungu na shetani maana hao ni jamii moja. Mungu na shetani nao wana vyanzo vyao ambavyo ndio vilivyotengeneza anga na mifumo yote ya anga za juu zote.
Daaah hii inabidi nisoma mara nyingi zaidi
Asante mkuu.
 
Habari wakuu!

Nafikiri kila mmoja hapa anachangamoto yake, poleni katika hayo, maisha ni lazima yaendelee tu
Ila leo nataka nijue niwangapi walishawahi kujiuliza haya maswali:

(1) Mungu ni nini?

(2)shetani ni nini?

(3) Roho ni nini?

(4,) Dini ni nini?

(5) Mwanadamu ni nini?

(6)Moto wakuchoma roho uko wapi

(7) Mbinguni ni wapi?

(8)Kifo ni nini?

(9) Imani ni nini?

(10)Jehanamu niwapi? (Mwisho kabisa

(10)MWANZO WA HAYO YOTE NI NINI?

Kama unajibu kamili kati ya maswali haya yote tunaombeni majibu jamani.

Asanteni [emoji848]
fanyeni kazi kwa bidii Ndugu zangu maisha hayana extra time...
 
Nilishwahi kuyapata haya mafunzo kwa Rastaman mmoja ivi mbona inawezakuchukuliwa kama njia sahihi ya maisha tu? Kwann watu wengi wa dini hawana majibu yaliyonyooka hivi?
Asante mkuu[emoji1666]
🙏
 
1. Mungu

ni nishati chanya inayopotikana kwenye kila kitu , ila kiuhalisia kama kiumbe hakuna Mungu.

2 .shetani

ni nishati hasi inayopatikana kwenye kila kitu , ikishirikiana na chanya ili kuleta balance kwenye kila hali.

3.Roho.

ni mnyumbuliko wa nishati kwenye kila maumbile ili kuleta nguvu na utashi katika maumbile husika.

4.Dini,

ni utaratibu na mfumo wa tamaduni fulani ,zilizowekwa ili kufanya mamlaka za kiserikali kuongoza jamii ,katika hofu fulani ili kutimiza matakwa za kisheria katika mawanda ya chini ya kiutambuzi , katika mfumo wa HOFU , AHADI NA KIFUNGO.

5. mwanadamu .

ni kiumbe alie jipambanua kwamba yeye ana utashi , maarifa, na mtawala kwa viumbe wote , katika mifumo ya kiserikali , kidini na nyanja mbalimbali ,bila kujali kuwa hata nyuki wana mifumo yao ya kuendesha maisha iliyo bora na ufanisi wa hali ya juu kabisa kuzidi hata binadamu.

6 Moto .

ni moja wapo ya nyenzo kuu ya Dini ili kuwezo kumtiisha binadamu mwenye utambuzi wa chini kutii mamlaka na sheria za kijamii.

7. Mbinguni.

pia ni nyenzo kubwa kabisa ya dini , kama Ahadi ili kuweza kumtiisha binadamu mwenye utambuzi wa chini ili kutii mamlaka na sheria za kijamii .

8 kifo.

Ni mwisho wa kiumbe chochote kile ,kuishi katika maumbile ya kimwili , katika kipindi fulani , ambapo viumbe hivi vikishafika mwisho katika maumbile ya kimwili vinaendeleza uhali katika mfumo wa nishati kwenye maumbile mengne, mchakato huu ni endelevu na unategemeana , uhai na kifo ndio maisha yenyewe .

9.Neno
"imani" linaweza kuwa na maana kadhaa kulingana na muktadha wake, lakini kwa ujumla, inaweza kumaanisha:

a Imani ya Kidini: Imani katika Mungu au nguvu za kiroho. Kwa mfano, imani ya Kikristo au ya Kiislamu.

b. Imani ya Kibinafsi: Kuamini kitu bila ushahidi wa moja kwa moja au bila kuona. Inaweza kumaanisha kuwa na imani katika uwezo wa mtu au jambo fulani.

c. Kujiamini: Kuwa na imani katika uwezo wako mwenyewe au uwezo wa wengine.

d Kuaminika: Kusema kuwa kitu ni cha kuaminika au kinasadikika.

Ili kuelewa maana kamili ya "imani" katika muktadha maalum, unahitaji kuzingatia jinsi neno hilo linavyotumiwa katika sentensi au muktadha husika.

1o Jehanam.

Neno "Jehanam" lina asili yake katika lugha ya Kiarabu. Katika lugha ya Kiarabu, "Jahannam" (جهنم) linamaanisha "Jehanamu" au "kuzimu." Neno hili linatumika katika lugha ya Kiarabu, pamoja na katika dini ya Kiislamu, kuelezea mahali pa adhabu kali ambapo waumini waovu na wenye dhambi wanaweza kujikuta baada ya kifo, kulingana na imani ya Kiislamu.

Jina "Jahannam" linaweza kufuatiliwa katika lugha ya Kiarabu na linahusiana na mifumo ya dini za Kiislamu na Kiaramu. Ni muhimu katika mafundisho ya dini ya Kiislamu kuhusu adhabu na malipo katika maisha ya baada ya kifo.

Pia ni nyenzo kuu katika dini kama KIFUNGO ili kufanya watu wenye utambuzi wa hali ya chini kufuata na kutii maamlaka ya jamii husika.
Haya majibu nimeyapa 95% naendelea kujifunza, ila hapa mkuu umenifungua sana
 
Back
Top Bottom