Value inapewa na watu wenye mamlaka na ndio Mana crypto inataka mfumo wa pesa uwe nje ya mikono na siasa yaani pesa iwe huru kabisa.
Inatakiwa ipiganishwe Vita uchumi wa nchi uwe mbali kabisa na mfumo wa siasa. Kwa USA fomc Ni independent organization inayoamua masuala ya uchumi wa USA