Umewahi kujiuliza kwanini wanaume wenye tabia njema katika Jamii huteswa na mapenzi?

Wanawake wana shida kidogo kwenye uchaguzi. Huwa wanawaganda wanaume ambao hawaonyeshi kuwajal kivile. Ukumuuliza mwanamke yoyote kwamba anataka kuolewa na mwanaume mwenye sifa zipi? Vigezo vya mpole, anaejali, anaenisiliza, mwaminifu, mchamungu huwa havikosekani. Lakini ukija kwenye uhalisia mwanaume ukiwa na hivyo vigezo mwanamke anakuona fala, na lazima atafanya majaribio ya kukupanda kichwani

Mwanamke anaanza kucheza na akili yako pale atakapogundua au utakapoanza kuonyesha hisia zako kwake. Pale unapoanza kumwambia jinsi unampenda, jinsi unamjali, jinsi ulivyo na shauku ya kuwa nae, pale ndipo nae anaanza michezo yake.

Ataanza kucheza na hisia zako. Njia salama zaidi ya kumfanya mwanamke awe interested na wewe ni kudhibiti hisia zako yaani usifunguke sana.

Never tell her how you feel. The moment you do that you lose all ypur power because women are drawn to men who are mysterious. They are attracted to men who don't seem to care about them in that way.

Jinsi utavyoonyesha kumpenda na kumjali sana mwanamke ndivyo utakavyozidi kupoteza hadhi yako kama mwanaume mbele yake. Mwanamke huyu hata akikubali kuwa na mahusiano na wewe basi atakuja na terms zake ambazo zipo kwa masilahi yake kwa sababu kwenye akili yake ana mtazamo kwamba anafanya favor ku-date na wewe

For any man, Insteady of simping around women, stay busy, be unavailable, keep hustling, focus on making money, hit the gym, live your best life. Women will chase you very cheaply.
 
Ila hawa nice guy akisema its over huwa hawarudi nyuma, na at the end mwanamke huwa anamkumbuka nice guy, hii ni baada ya kuchapika.
 
Upo sahihi kaka, mwanamke atasema anahitaji mwanaume mcha Mungu, msikilizaji n.k lakini ukiwa hivi basi hautaacha kuona upuuzi wake kwake.
 
Generalized, lakini kuna ukweli partially ndani yake. Kiufupi mwanamke ni kiumbe cha hisia, na mwanaume ni kiumbe logical. Hiyo ni moja ya sababu kila kitu duniani kimeanzishwa na mwanaume. Na njia pekee ya kuendesha au kuongoza kiumbe emotional ni kukizidi akili. Kama mwanaume hauna akili, in general basi utateseka sana. Kimaisha, kiuchumi, na kimahusiano na hawa mbuzi.
 
Sijawahi Sikia mwanamke eti anataka kumuacha mume mwenye kujali kama tulivyosema labda kama unamaanishaku cheat sawa.
 
Wanaume wenzetu wenye tabia njema mmeambiwa muwe washenzi na wakorofi kwa wadada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…