Janja PORI
JF-Expert Member
- Jul 31, 2011
- 825
- 246
Wadau naombeni kwa waliotafiti kwanini kuna nakala mbili za rasimu ya katiba. Moja ni kopi halisi ya tume ingne haijulikani imetoka wapi je?? yaweza kuwa tume waliandaa kisha wakaitupilia mbali. Au je yaweza kuwa ni baazi ya member wa tume waliamua kuja na mawazo yao baada ya kuona ishu ya muungano iko tete.
naombeni mawazo yenu hili si swala la kukaa kimya
naombeni mawazo yenu hili si swala la kukaa kimya