Janja PORI
JF-Expert Member
- Jul 31, 2011
- 825
- 246
Wadau naombeni kwa waliotafiti kwanini kuna nakala mbili za rasimu ya katiba. Moja ni kopi halisi ya tume ingne haijulikani imetoka wapi je?? yaweza kuwa tume waliandaa kisha wakaitupilia mbali. Au je yaweza kuwa ni baazi ya member wa tume waliamua kuja na mawazo yao baada ya kuona ishu ya muungano iko tete.
naombeni mawazo yenu hili si swala la kukaa kimya

Dizaini ule msuso wa chadema na jukwaa la katiba pengine ndio vimesaidia, tungepata nakala ya hiyo nyingine tukajua kuna nini ndio tungefarijika zaidi.
Heeeeee!! Kumbe kuna RASIMU MBILI ZA KATIBA? Pls, can anyone attach to me via PM the second DRAFT bse the FIRST DRAFT is in my possession?