Umewahi kukosana na ndugu au rafiki kisa umesema ukweli?

Umewahi kukosana na ndugu au rafiki kisa umesema ukweli?

JamiiCheck

Member
Joined
Nov 3, 2023
Posts
98
Reaction score
122
Mdau, umewahi kuingia kwenye mgogoro au hata kupoteza ukaribu na rafiki au ndugu sababu ya kusema Ukweli?

Ilikuwaje hadi mkafikia hatua hii?
 
Mdau, umewahi kuingia kwenye mgogoro au hata kupoteza ukaribu na rafiki au ndugu sababu ya kusema Ukweli?

Ilikuwaje hadi mkafikia hatua hii?
Badala ya kueleza kilicho kukuta unaanza kutuuliza sise, acha ku muoga wa kusema kisa chako humu jf hamna anae kujua.
 
Back
Top Bottom