Umewahi kukuta watu wanakula tunda live?

Status
Not open for further replies.

funzadume

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2010
Posts
13,624
Reaction score
21,362
Wakati nasoma kulikuwa na dada mmoja class (chuo) aliniazima calculator yake akaenda nayo chumbani kwake kwa minajili ya kwamba ataniletea usiku saa tatu kwenye discussion (tulikuwa na test ya QMS kesho yake).

Ilipofika usiku tumepiga discussion demu hajatokea mpk saa tano usiku na mie claculator yangu naihitaji mno kusolve mambo. Kwa kuwa nilikuwa nakijua chumba chake nikaona ngoja nitimbe nikaichukue (kipindi hicho simu za mkononi bado). Basi ile nafika nikasikia radio inapiga so nikagonga hodi kimya nikaamua kufungua aisee nilikuta yule dada anagigwa doggy style habari hawana wameloa jasho kwa mtanange. Nilipigwa na butwaa kama sekunde 30 hivi ndio network ikarudi nikafunga mlango nikasepa kimyakimya na wala hawakuniona

Navyo visa vingi vya kushuhudia mtanange live hebu leo tushee hapa matukio including chabo za kudhamiria.
 
Mwaka flani back in time maeneo ya Coco beach upande wa kushoto kama unatazama bahari kuna mwamba ambapo kwa chini kuna kapango flani hivi,
Sasa mimi nliwahi saana maana nlikua naishi maeneo ya walking distance, yaani mida ya saa7 nipo zangu coco nikapanda juu ya ule mwamba nikaona jua kali nikazama bondeni, La haula!! nkakuta njemba inajipigia mzigo live, msela alinikata jicho kali kinoma, mi kinyongee nkarudi zangu kwenye banda la kupumzikia pale Coco 🙁.
 
Macho yaliona yakapeleka kwenye ubongo kuuliza hiki naona ni sawa?

Ubongo ukasema kimbia utasababisha mauaji.

Nikautii ubongo, nikatoka mbioo, kufika nyumbani akili ikaniambia umefumania bila kudhamiria wala kutarajia.
Chakufanya futa hiyo kumbukumbu kisha endelea mbele, akijirudi kubembeleza muendelee usikubali katuu sababu ile picha itajirudia kwenye ubongo nawe bila kutarajia utaanza kujawa na hasira kisha chuki na kitachofata ni hatari zaidi.

Nilishuhudia aliyekuwa mpenz wangu akimgegeda aliyenitambulisha kuwa ni family friend wao. Tangu hapo sijashuhudia tena watu wakigegedana zaidi ya bata.

Kasie Matata.
 
Mwaka flani back in time maeneo ya COCO beach chini ya mwamba kuna kapango flani hivi sa nini nliwahi saana maana nlikua naishi maeneo ya walking distance, yaani mida ya saa7 nipo zangu coco nikapanda juu ya ule mwamba nikaona jua kali nikazama bondeni, La haula nkakuta nkema inajipigia mzigo live. mi kinyongee nkarudi zangu kwenye banda la kupumzikia pale koko.
Walikuona?
 
Hatari sana aisee
 
Duh kasinde poleeee Kasie
 
Kuna ingine hiyo tulitoka disco wakati niko chuo pia nikiwa mtungi hatari. Sasa meti wangu kumbe alikuwa ameshampanga baamedi anayehudumia vinywaji pale ukumbini (madisco ya chuo) so alivyoona nimelewa na pombe niliyofakamia akahakikisha nimelala akatoka akaenda kufuata goma lake.

Sasa walipoingia mie nilistuka na pombe zangu nikaona meti kaingia na demu so nikavunga kama nakoroma kumbe naangalia tu mchezo. Basi meti alikuwa analala kitanda cha chini mimi juu (double decker). Basi anabambia baadae akaanza kunjunja. Mie kula juu nayapata makelele yote na kuangalia chini nikawa nahofia kwa kuwa ningetoa kichwa wangeniona kama napiga chabo. Basi akili ikaja nikakunja godoro upande wa kichwani nikaanza kupata picha clear kabisa. Meti alipiga mzigo na kwa bahati mbaya upande wangu nilipiga bao kule juu kabla hata ya wahusika. Baada ya bao nilipitiwa na usingizi nimeamka asubuhi demu kumbe alishasepa usiku ule ule
 
Mwaka flani back in time maeneo ya COCO beach chini ya mwamba kuna kapango flani hivi sa nini nliwahi saana maana nlikua naishi maeneo ya walking distance, yaani mida ya saa7 nipo zangu coco nikapanda juu ya ule mwamba nikaona jua kali nikazama bondeni, La haula nkakuta nkema inajipigia mzigo live. mi kinyongee nkarudi zangu kwenye banda la kupumzikia pale koko.
Nalijua hilo eneo. Ni miamba imezunguka ila ukiwa kwa juu kuna tundu kubwa unaona chini. Ila kuna sehemu ya kujibanza hata mtu akisimama kwenye tundu hakuoni.

Nalifahamu sana....
 
Kitambo hichoo nipo kijana tu mitaa ya Moshi mjini natoka zangu maeneo ya Dar Street naelekea Soweto kupitia njia ya Uwanja wa Ndege nyuma ya shule ya msingi Korongoni!

Wajati huo hata daladala za mjini Soweto hakuna, so miguu yako ndiyo mwendo wako!

Ilikuwa yapata kama saa tatu usiku hivi, kuna vibaka ila nimeshika jiwe kubwa ili akinikurupua mtu nampa la fasta ili nipate gape la kukimbia!

Katikati hivi kwa mbali kidogo na kale kagiza nikaona kama kuna wanyama, nikajipa moyo ni mbwa wale! Kadiri nasogea nagundua kumbe ni watu, jamaa anakula mzigo kwenye majani habari hana na demu anagugumia kabisa kama yupo kwa bed bana!

Nikapita zangu kimya kimya, ila mshikaji aliniona akauchuna na kuendelea na purukushani zake
 
Macho yaliona yakapeleka kwenye ubongo kuuliza hiki naona ni sawa?

Ubongo ukasema kimbia utasababisha mauaji.

Nikautii ubongo, nikatoka mbioo, kufika nyumbani akili ikaniambia umefumania bila kudhamiria wala kutarajia.
Chakufanya futa hiyo kumbukumbu kisha endelea mbele, akijirudi kubembeleza muendelee usikubali katuu sababu ile picha itajirudia kwenye ubongo nawe bila kutarajia utaanza kujawa na hasira kisha chuki na kitachofata ni hatari zaidi.

Nilishuhudia aliyekuwa mpenz wangu akimgegeda aliyenitambulisha kuwa ni family friend wao. Tangu hapo sijashuhudia tena watu wakigegedana zaidi ya bata.

Kasie Matata.
Pole mpenzi..😜
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom