Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 997
- 1,220
Habarini,
Mliowahi kutoka nje ya nchi hii basi mkuje kutuhabarisha kuhusu hili. Nini mmeona? Nini mmefanyiwa ili tunaohangaika kutoka tujue mapema.
Kuna mmoja alisema yeye aliwahi kuvutwa pua kwa nguvu sana baada ya kutolewa jambo flani.
Karibuni.
Pia soma: Wamarekani wenye asili ya Afrika bado wakabiliwa na ubaguzi wa rangi