Umewahi kukutwa na hali kama hii??

  • Thread starter Thread starter LD
  • Start date Start date
Asante Maty, hebu ngoja niache kuwaza kujenga ghorofa angani lol!!!

Hahahahaaaaaaa LD bana hilo ghorofa likimalizika naomba na mimi tukae wote lol
 
Pole sana LD naweza kuimagine vile unajiskia,the only thing ni prayer kama wengi walivyotangulia kusema,have fun with friends,watch kama una interest,n.k ,,,,lkn kubwa ni prayer.Kama huna depression yaweza kuwa hali ya rohoni zaidi najua unaelewa ninachomaanisha.Nakuombea amani
 

Asante WL,
Hebu tupande mlimani mtumishi..................
 
LD nani tena huyo anakuanzia asubuhi yote hii?? Hebu sali kwanza na uombe roho hiyo ya kishetani ikuondoke nami nakuombea sasa hivi nikimaliza tu kuandika hapa. Pole sana dearest usijali acha kuwaza magari, magorofa, na investment yote ni yako ha ha ha ha im joking
 
ha hahaaaaaaaa LD bana!! so unajenga gorofa za juu??

pole sana my dia!! hiyo humtokea karibia kila mtu!! ila pia inabidi utizame lbd kuna mlango wa dhambi ambao uliufungua bila ww mwenyewe kujua ss unajikuta roho inakuhukumu, kwnn umefanya hivi, kwnn umesema hivi, kwanini ume...... , !! dawa yake nikuomba toba!! utajisikia umepata amani.
 
rafiki pole kwa hali unayopitia najua inavyokuwa,wengi wametangulia kusema zingatia hayo msisitizo kny maombi
 
Ni kuomba tu LD...utajickia faraja ya ajabu..but do it kwa kumaanisha na imani kubwa. ni hayo tu.
 

Bwana wee!!
Acha tu nizame rohoni manake daa!!
 
rafiki pole kwa hali unayopitia najua inavyokuwa,wengi wametangulia kusema zingatia hayo msisitizo kny maombi

Thanks Wit, upo eeh!!
Hebu ingia humo chumbani useme maneno mawili matatu...............
 

Na ashindwe kabisa DA...............
Hebu zama kabisa DA, yani j3 inakuja na mzigo hivi................
 


IVO EEH...THATS WHAT FRIENDS ARE FOR

LD mdogo wangu, talk to someone and it will naturally fade away....
 

mkuu pj heshima mbele
nilijua wewe ni mtaalam wa habari za kisiasa pekee, kumbe hata za kiroho uko deep! ushauri wako nimeunote
 
Ld....!nina wazo hapa

nadhani ''kale kalikizo kale'' ndo kanakokupa hiyo PINCH...!
 


My dear hii situation inatokea
Ukiwa unhappy na kitu fulani
Au unafanya kitu fulani kwa muda
mrefu huoni mafanikio au umekaribia kufanikiwa
Mara kitu kinaharibika...
Sasa hapo ndo mahali watu wanakuwa alchoholic,
wengine wanatumia drags just to run away from reality
na wengine wanafikia hatua ya kutoa maisha yao
Lakini kitu nilicho gundua usikubali ile ya kujifungia
na kuwa mwenye dear ... yaani ni muhimu sana kuwa na watu
na kumtafuta mmoja unayemwamini na kuongelea hilo jambo
Kweli utadhani ni safe kuwa peke yako lakinI my dear si vema..
 
Mambo?

hivi tunaweza kuongea?
 
pole sana LD kama hyo hali imekutokea wewe.yaa hyo hali huwa inatokea kwa kila mtu unahisi kama unakosa raha na sometyms unatamani hata kulia ila only solution ni kusali tu na kama ni mkristo basi jitahidi kusoma bible na kama muislam jitahid kusoma Qur-an
 
Ld....!nina wazo hapa

nadhani ''kale kalikizo kale'' ndo kanakokupa hiyo PINCH...!

Mmmmh mfalme wa Amani ni kweli hili kweli,
Anyway, ngoja nizidishe maombi............
 
IVO EEH...THATS WHAT FRIENDS ARE FOR

LD mdogo wangu, talk to someone and it will naturally fade away....

Asante kaka, hebu nichagulie Msasha mmoja niongee naye!!
 
LD umenifanya nijiskie kuwa na mimi ni binadamu wa kawaida kabisa kwani hii hali kuna wakati hunitokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…