Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
hii ndio ilikuwa moja ya rushwa kushinikiza utiwaji sahihi wa mikataba 30.Ngoja wajeView attachment 2704426
Mada tu kama mada zingine, huenda kupitia hapa wakajirekebishaHapo RITA system bado haijatoa cheti njoo kesho, btw umetumwa kufanya kajiutafiti au una assignment..
Duh, hatariiNimewahi, cheti cha kuzaliwa kikapatikana ndani ya siku 1. Mimi nikiwa zangu nyumbani nimelala.
Inahuzunisha.... kama uhamiaji kipindi fulani hadi niliacha process za kupata passport, unazungushwa na kila kitu uko nacho!Nilitoa rushwa NIDA ili nipate uthibitisho kuwa ni raia wa nchi hii kipindi hicho nina viambatanisho vya kuanzia babu.
Nilitoa rushwa uhamiaji ili nipate passport mbali ya kuwa na kila kithibitisho.
Nilitoa rushwa polisi ili mtu niliemshataki kwa kuniibia akamatwe, kukiwa na uthibitisho wa video na kukiri kwa kumtuhumiwa.
Nilitoa rushwa bank wanipe bank statement ya pesa zangu mwenyewe kwa vile zilipita dk 5 baada ya muda wa kufunga bank.
Nilitoa rushwa hospitali ya serikali ili nipate medical report ya kuthibitisha kuwa ni mgonjwa na nahitaji kwenda kutubiwa nje (kwa pesa yangu mwenyewe) na hii nikiwa na kila viambatanisho vya kitabibu .
Nchi hii kila kitu ni rushwa rushwa rushwa.
Funguka Mkuu uwachanePolisi Hawa jamaa ni wapuuzi sana. Ngoja niishie hapa ila niwapuuzi mno
😂😂😂sasa si mpaka uwe na uwezo wa kuitoa mkuuHakuna hata Mmoja ambaye hajawahi kutoa rushwa na yupo Tanzania hii tusidanganyane unless upo Scandinavia countries