Umewahi kuona ujasiri huu?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
<table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"><tbody><tr><td align="left"><table bgcolor="#dddddd" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" height="23" width="100%"><tbody><tr><td width="10">
</td> <td width="606">

</td> <td align="right" width="139">photos</td> <td align="right" width="12">
</td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td bgcolor="#999999">
</td> </tr> <tr> <td class="shortnews" align="left" bgcolor="#ffffff" valign="top">
<!--ThumbBegin-->
<!--ThumbEnd-->
Mwanafunzi wa Chuo cha Uandishi wa Habari cha mkoani Morogoro (MSJ), Salum Dalali, akionyesha umahiri ambapo jiwe la zaidi hya kilo 50 linapasuliwa juu ya kifua chake. Hii ilikuwa ni wakati wa sherehe za mahafari ya 13 chuoni hapo yaliyofanyika Februari 27 mwaka huu katika ukumbi wa JKT ulio katika Uwanja wa Maonesho ya Nane Nane.​

</td></tr></tbody></table>
 
mmm jamani!dunia ina mambo
 
Pawa mwana kulya amerudi tena?
Pawa mabula, mabula ameokoka na anatangaza injili huko tanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…