Umewahi kupigwa roba mtaani? Weka kisa chako

Nimejikuta nacheka Sana!!
 
Uchochoro wa Mango tandika,kuna kauchochoro flani pale Kituo cha Mango kama unaelekea tandika ni shortcut,mwaka 2009 nilikula roba moja matata ya ghafla sikujua ilipotokea,ghafla mbele wakaja jamaa wawili mmoja akainua miguu mmoja ananipiga ngumi za tumbo huku anasema "tulia kum**ko",wakanichukulia kisimu vhangu siemens na buku mbili ya nauli,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji38][emoji38][emoji38] wahuni sio watu
 
Kuna jamaa mmoja humu JF alisimulia alikabwa mara kadhaa mpaka siku moja vibaka wakasema 'huyu wa jana muachieni'
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ila kukabwa kusikie tu

Nakumbuka nilikabwa njia ya kuingia nyumbani kwangu

Mpaka naamka asubuhi nahisi kama ni ndoto[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Jamaa wakaondoka na kipochi changu, bahati pesa niliweka mfuko wa suruali hawakuzichukua
Ila nilikitwa kisu kwenye paja Nna alama mpaka leo

Wahuni siyo watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…