Umewahi kupitia sekeseke la Utapeli gani wa Mitandao. Na ulichukua hatua gani?

Umewahi kupitia sekeseke la Utapeli gani wa Mitandao. Na ulichukua hatua gani?

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
Mwaka 2021 kuna rafik angu aliibiwa simu sasa yule aliyemuibia simu akatoa ile line akaanza kuwapigia contacts zilizopo na kuwaambia amepata dharura anahitaji laki 3.

Mimi alinipigia na kuniambia kuwa mhusika kalazwa yuko ICU inahitajika kama milioni 3 atibiwe, ila naweza kuchangia chochote.

Ila kusikia sauti ya aliyekuwa anaongea roho ikasita kwa sababu niliona sauti yake ni tofauti. Nikampigia mtu wake wa karibu kumuuliza ndo akanijulisha kuwa mhusika kaibiwa simu.

Ikabidi niwa shauri kwanza wakaifunge hiyo line na watoe taarifa kwa tu kuwa Simu yake imeibiwa
 
Back
Top Bottom