The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Salaam wakuu, tayari ni weekend
Mimi mara kadhaa nimekutana na upotoshaji kutoka vyanzo vya taarifa ambavyo nimekuwa nakiviamini sana, jambo ambalo linanithibitishia kuwa upotoshaji unaweza kufanywa na yeyote kwa kujua au kutokujua.
Je wewe Umewahi kupotoshwa na chanzo cha taarifa ulichokuwa unakiamini? hali ilikuwaje na ilikuathiri kwa kiwango gani?
Je wewe Umewahi kupotoshwa na chanzo cha taarifa ulichokuwa unakiamini? hali ilikuwaje na ilikuathiri kwa kiwango gani?