The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Wewe umewahi kupotoshwa hapoHapa stori nyingi itakuwa mganga (mtaalam)
vipi aliwahi kukupotosha?Zito kabwe,chanzo changu Cha taarifa bungeni na CHADEMA
enzi hizo
Niliambiwa yuko ofisini anachapa Kazi ni mzima buheri wao afya.Salaam wakuu, tayari ni weekend
Mimi mara kadhaa nimekutana na upotoshaji kutoka vyanzo vya taarifa ambavyo nimekuwa nakiviamini sana, jambo ambalo linanithibitishia kuwa upotoshaji unaweza kufanywa na yeyote kwa kujua au kutokujua.
Je wewe Umewahi kupotoshwa na chanzo cha taarifa ulichokuwa unakiamini? hali ilikuwaje na ilikuathiri kwa kiwango gani?
Wanawake wamekufanyaje mkuu😂😂Hali imeendelea kuwa mbaya sitakuja kuwaamini tena wanawake!
How comes ulichagua wanawake kama chanzo chako cha taarifaHali imeendelea kuwa mbaya sitakuja kuwaamini tena wanawake!
Mfano mzuri walikuwa mashaboki wa kisiasa wa Biden na Kamala Haris baada ya kuangukia pua kila mmoja kwa wakati wake,karma ya witch hunt ilirudi nyumbani kwao.Baada ya songombingo la kutosha wakajua vyombo vyao ,vyombo majirani wao vilisema uongo kwa chuki zao kwa Mzee Trumpet.Salaam wakuu, tayari ni weekend
Mimi mara kadhaa nimekutana na upotoshaji kutoka vyanzo vya taarifa ambavyo nimekuwa nakiviamini sana, jambo ambalo linanithibitishia kuwa upotoshaji unaweza kufanywa na yeyote kwa kujua au kutokujua.
Je wewe Umewahi kupotoshwa na chanzo cha taarifa ulichokuwa unakiamini? hali ilikuwaje na ilikuathiri kwa kiwango gani?
Yes, Wasafi Media, EFM, Clouds, na kuna baadhi ya watangazaji Youtube ni very useless, ukiwasikiliza na kuwaamini haki ya Mungu utakuja kujiua maana hawajuwi wanaongelea nini.Salaam wakuu, tayari ni weekend
Mimi mara kadhaa nimekutana na upotoshaji kutoka vyanzo vya taarifa ambavyo nimekuwa nakiviamini sana, jambo ambalo linanithibitishia kuwa upotoshaji unaweza kufanywa na yeyote kwa kujua au kutokujua.
Je wewe Umewahi kupotoshwa na chanzo cha taarifa ulichokuwa unakiamini? hali ilikuwaje na ilikuathiri kwa kiwango gani?
Kama ukisafiri na unataka kujua maendeleo ya familia unadhani chanzo cha taarifa kitakua mini kama si mkeo!!How comes ulichagua wanawake kama chanzo chako cha taarifa
Kule youtube ni pa kuwa makini, unaweza ukapotoshwa hivihivi unajionaYes, Wasafi Media, EFM, Clouds, na kuna baadhi ya watangazaji Youtube ni very useless, ukiwasikiliza na kuwaamini haki ya Mungu utakuja kujiua maana hawajuwi wanaongelea nini.
Kuna jamaa nafikiri anaitwa Sky wa Simulizi na Sauti, jamaa ana fix za kijinga sana sijuwi kwanini hafanyi reseach ya kutosha kujiridhisha kabla ya kwenda YouTube kuelimisha watu. Nimeachana kumsikiliza kwa sababu hafai hata kidogo, ni mpotoshaji mno.Kule youtube ni pa kuwa makini, unaweza ukapotoshwa hivihivi unajiona