Cesar Saint
JF-Expert Member
- Nov 18, 2016
- 423
- 726
Habari zenu wakubwa!
Ni muda sasa umepita tokea kesi ya kwanza ya ugonjwa wa Ukimwi iliporipotiwa mwaka 1981, ambapo katika THE GLOBAL HIV/AIDS PANDEMIC,2006 REPORT takribani watu 65 million walikuwa wameathirika na UKIMWI na 25 million walikuwa wamekufa kwa UKIMWI kwa mwaka 2005 PEKEE.
Kwa tathimini hii fupi utaona ni kama TANZANIA nzima iwe imeathirika na ugonjwa huu M/Mungu atunusuru .
Niachane na tathimini hizi na niingie katika mada husika niliyowaletea ndugu zangu na kama ni muumini na mfuatiliaji wa tafiti mbalimbali hasa tafiti zinazohusu afya neno “PATENT” haliwezi kuwa geni kwako.
Kwa tafsiri isiyo rasmi ya neno hili ni;
Patent is a government authority or licence conferring a right or title for a set period, especially the sole right to exclude others from making, using, or selling an invention.
Hivyo Basi mnamo mwaka 1996 May 31 Inventor mmoja anayeitwa Marvin S. Antelman kutoka Rehovot, Israel aliyetokea kampuni ya Antelman Technologies Ltd., 40-51. Providence, R.I. alifanya maombi ya kuchapisha ugunduzi wake maombi namba 658,955 ya jinsi ya kutibu ukimwi nchini Marekani na kupewa patent number 5676977 mwaka 1997 October 14 .
Katika ugunduzi wake huu alielezea jinsi TETRASILVERTETROXDE MOLECULAR CRYSTAL DEVICE inaweza kutumika kutibu upungufu wa kinga mwilini kwa kutumia shot moja IV kupata matokeo chanya ya vijidudu viletavyo AIDS na Immunity suppressing moiety(ISM).
Tiba hii inafanyaje kazi:
Molecular crystal ya kifaa hiki ina sehemu moja yenye mono na sehemu nyingine yenye trivalent Silver ions zenye uwezo wa kushambulia(firing) electrons zenye uwezo wa kufanya electrocution kwa kirusi ya AIDS na vijidudu vingine nyemelezi pamoja na ISM.
Mtu anapochomwa shot ya mchanganyiko huu kwenye damu yake electrons za kifaa hiki kinakuwa activated na vijidudu vya ukimwi na hapo hupelekea kutokea kwa REDOX CHELATION MECHANISM ambayo hupelekea kuundwa kwa divalent silver moieties ambazo huungana katika seli za vijidudu vya ukimwi na kuviua.
Kifaa hiki hakina madhara sumu au hatarishi kwa mtumiaji ijapokuwa kinaweza kupelekea kupata hepatomegaly lakini hii hatoathiri utendaji kazi wa Ini.
Naomba kuwasilisha.
Cc
Nimeshindwa jinsi ya kuweka pandiko husika lakini unaweza kulipata kupitia
https://patentimages.storage.googleapis.com/68/18/0e/6630bfa5fcf022/US5676977.pdf