LA7
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 655
- 2,369
Kidogo macho unaweza kusema uyafumbe, na masikio je?
Mimi hii kitu imenitokea mara nyingi tu katika mazingira ya maisha niliyoishi ila kuna siku naikumbuka nikiwa nafanya kazi kwenye boti jamaa ambae ni mkubwa kwangu alileta demu, Mimi ikabidi nijifanye nimelala usingizi ili nisiwaharibie watu ratiba zao.