Umewahi kusoma kitabu, The Richest Man In Babylon? Ulijifunza nini? Kinasaidia?

Hapo anaposema bajeti ya ulinzi inabidi iwe kubwa ana maanisha nini? Je ni sawa hata kufanya mazindiko kulinda mali?
 
Pia kwa mtu atayetaka softcopy anicheki PM atapata kwa Tsh 3,500. Ipo kabisa katika mfumo wa kusomea ebooks, EPub
 
Nimejiwekea lengo la kusoma kitabu kimoja kila mwezi, nimeshamaliza THINK AND GROW RICH kwenye timetable kinachofuata ni hiki THE RICHEST MAN IN BABYLON.

Shukrani sana kwa kushare kitabu hiki.
 
Nilikipenda na nikakisoma humu kwa kiswahili

Kuna mtu alisummarize
Sijui ndo wewe
 
Dah
 
Nilisave 10% percent kwa wife ilipofika kiasi fulani tumekula yote kwa shida kadhaa.

Niina maarifa mengi lakini kuyafanyia kazi inanipa shida sana.

Watu wakiniuliza nawapa mambo kadhaa ila mimi mwenyewe kuyafanya inanipa tabu sana aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…