Umewahi kusoma kitabu, The Richest Man In Babylon? Ulijifunza nini? Kinasaidia?

Haya yanafaa sana kwa watu wote wakiwemo vijana walioko vyuoni ambao baada ya kuhitimu hujikuta hawana ramani yoyote so kama wakipata maarifa ya 10% baada ya kumaliza chuo ni mtaji tosha.
Kama amedhamiria na kujinyima, inawezekana kabisa. Sisi wengi tumechelewa kuyajua maarifa haya.
 
Mimi napenda kuuliza tu kwamba, hichi kitabu kilikua kinahusu stori au hadithi ya kweli au ilikua ni hadithi ya kutunga tu?

Mwenye majibu tafadhali.
 
Kitabu gan kiko maktaba kinaweza kuendana content na hiki???? Kilichoisha?
 
Wakubwa halafu tumsuport jAmaa kwa kidownload na kishare link ya application yake ya maktaba. Ipo play store me tayari nishaipakua.
Kama upo na hiyo link nisogezee hapa comrade.
 
Mimi napenda kuuliza tu kwamba, hichi kitabu kilikua kinahusu stori au hadithi ya kweli au ilikua ni hadithi ya kutunga tu?

Mwenye majibu tafadhali.
Ni hadithi za kutunga ili ilikufikisha ujumbe(Fables), si habari za kweli.
 
Mimi napenda kuuliza tu kwamba, hichi kitabu kilikua kinahusu stori au hadithi ya kweli au ilikua ni hadithi ya kutunga tu?

Mwenye majibu tafadhali.
Kama umesoma hayo madini aliyotuma jamaa kuhusu hicho kitabu jiangalie maisha yako ndo utajua ni hadithi tu ya kufikirika au ndivyo mambo yanavyokwenda kwenye Jamii miaka na miaka.
 
Naona umekosea kdg, pato lake alilojilipa hapo ni hyo 10%,ambayo nayo anatakiwa akaizungushe, hyo 90% ndio bili ya maji hapo, kodi, umeme, chakula etc.
 
JazzakAllahh Khairrrrr Red Giant
Napenda kusoma ila nilikuwa nakionea uvivu the english version
Ila hii tafsiri ya kiswahili umeipamba nimekimaliza.,nzuri sana
Ahsantee🙏🏽🙏🏽
 
Darasa moja, lakini uelewa tofauti kwa kweli.

Mkuu, ulivyotiririka ndivyo mtoa mada alivyomaanisha, kasoro ni moja tu kwenye neno 'kujilipa' tumetofautiana uelewa hapo.

Nilivyoelewa mimi ni kuwa ile 10% unayoiweka akiba ndiyo kujilipa wewe mwenyewe huko.
 
Sahihi kabisa na usiiguse mpaka ikianza kukua kidogo,mfano mtu unapokea laki tano kwa mwezi,yaani kila mwezi utenge 10% 50000 ikifika japo miezi mitano au sita itakuwa zaidi ya laki mbili ama tatu hapo unaanza kuwekeza taratibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…