Umewahi kutana na Fake Recruiters?(RECRUITMENT SCAM)

Adriel Vin

Senior Member
Joined
Jun 25, 2020
Posts
148
Reaction score
759
Habari wadau, katika harakati za kuendelea kutafuta kazi kuna baadhi yetu ambao tayari wamekutana na hizi kampuni zinazofanya kazi ya kuwatafutia kazi watu, wao wanakua kama agencies, some of them are fake, some are real.

tushare experience hapa kwa wale ambao wamewahi kufanikiwa kupata kazi kupitia hizi kampuni na wale ambao wamepigwa (kutapeliwa na hizi kampuni)
 
Hebu tuanze na experience yako
Binafsi niko stage two ya hiyo process, interview ya kwanza nimemaliza nasubiri interview ya pili, kuna kampuni nilituma CV yangu na siku za hizi karibuni walinitafuta nikafanya interview ya kwanza...so bado sijajua kama ni fake or real, bado nafanya observation
 
 
wakishaanzaga pigo zao za nitumie hela kuna mtu wangu yupo kwenye panel ya interview nampanga ili ufaulu....Huwa nawapiga chini
Mi nikisikia tu suala la kutoa pesa nasepa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…