Umewahi kutembea na mpenzi wa rafiki yako?

Ecosystem 😀😀😀😀
 
Umemaliza kibabe sanaa, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siwezi date na mtu ambaye namjua mtu wake mwingine, inanikata sanaa.
Hata kwenye mahusiano yangu, sitakagi kujua past ya mtu niliyenaye.

Hisia zinatoka kabisaa, SIWEZIIII
 
kwahiyo mkuu unataka kusema upo salama..? ngoja jamaa lije lijue kesho tu uone litakavyokuja na style mpya yakulipiza kisasi, sio tu magazeti yataandika hadi vipeperushi, habari yako itakuwa gumzo mpaka kwenye vyombo vya kuoshea vyombo...😁
Yaani we mwache tu, atafanywa vitu mbofu mbofu...
 
Hapana. Dada yake.
 
ilinichukua muda kuelewa alichokua akikimaanisha sikua na papara nilimuita mbele ya rafiki yangu nikasema ukweli hapo ndo ulikua mwanzo mpya wa kuwa huru upande wangu
 
Yesu wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…