Mzee kuna kipindi vyoo vya Kariakoo viiiingi vilikuwa katika hiyo hali. Sasa ukiwa mjini Kariakoo na umebanwaaaa na unatembea kwa kunyatanyata. Unapiga hatua moja mbili halafu unasimama kuzuia mzigo usiteme, unapiga hatua tano fastaaa, unakutana na mama wa kimanyema. Anaosha vyombo na hana haraka kukutizama usoni.Ni bora ukimbie porini ili ukimaliza utafte majani halafu ufanye kitu inaitwa "KUSHENENA" ukimaliza nawa maji yako ya kilimanjaro kumalizia kama kuna mabaki ya kinyesi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni bora ukimbie porini ili ukimaliza utafte majani halafu ufanye kitu inaitwa "KUSHENENA" ukimaliza nawa maji yako ya kilimanjaro kumalizia kama kuna mabaki ya kinyesi.