Umewahi kutumia Mtandao Kujitibu?

Umewahi kutumia Mtandao Kujitibu?

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2021
Posts
577
Reaction score
2,595
Matumizi ya Mtandao yamesaidia Kwa kiasi kikubwa kurahisisha Maisha ya binadamu. Kutokana na uwepo wa taarifa nyingi za afya zinazopatikana Mtandaoni, baadhi ya watu huzitumia katika kujitibu magonjwa pasipo Kwenda hospitalini.

Wataalam wa Afya wanaonya kuwa tabia hii inaweza kuleta athari kubwa kwa Afya, hushauri taarifa za Mtandaoni kuhusu Tiba zitumike kwa lengo la elimu pekee.

Umewahi kutumia Mtandao kujitibu? Kitu gani kilikusukuma kufanya hivyo?

====

Let’s say you have a persistent cough that has lasted a good eight weeks. When you searched online, you diagnosed yourself with pneumonia, tuberculosis, lung cancer, heart disease, acid reflux, and chronic bronchitis. After all, those conditions share similar symptoms. You’re freaked out.

Sites like WebMD, Mayo Clinic and Cleveland Clinic are packed full of useful, reliable information, but that doesn’t mean they should replace your doctor.

Leave the diagnosing to medical professionals. Use those medical reference sites to learn more about what your doctors tell you, and always consult with your doctor before beginning any medical treatment.

Source: Henry Ford Health
 
Back
Top Bottom